Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
IPP Media mnaomiliki ITV, EATV, CAPITAL TV na Radio One tupeni Camera mnazotumia kushoot vipindi zimepitwa na wakati, nunueni Camera za 4K -6K, ubora wa vipindi vyenu unatia aibu
Mmechelewa kwenda na wakati, mbona hamtaki kubadilika? Kama ni fedha za kununua Camera hazipo hata kukopa Bank haiwezekani? Mbona mna assets nyingi tu za kupata mikopo mikubwa?
Mnachotakiwa kufanya ni ubora wa Video za vipindi vyenu kuwa na 4K-6K pia mtafute na Graphics Designer mzuri atengeneze longo zenu kwa ubora wa 4K-6K acheni kufanya mambo kienyeji