Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Wanaukumbi.
Kamanda wa kituo cha pamoja cha ulinzi wa anga cha Khatam al-Anbiya cha Iran:
Anga zetu si salama kwa ndege za Israel, zitakutana na pigo zito kutoka kwa Ulinzi wetu wa Anga.
Marekani na Ulaya wamemwambia Israel Usijaribu kurudisha mashambulizi Israel. Sisi itakuwa ngumu kukusaidia kuna vita vta Ukraine bado vigumu kupambana na Iran ni kazi kubwa, israel hataki kuwasiliza wafadhili wake acha akutane na moto anadha Iran ni Gaza.
View: https://x.com/warintel4u/status/1779869385600934377?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw