IRAN bado inahangaika kuzima moto uliotokana na mlipuko kwenye Bandari!!

IRAN bado inahangaika kuzima moto uliotokana na mlipuko kwenye Bandari!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Iran bado mpaka asubuhi ya leo Inahangaika kuzima moto uliosababishwa na mlipuko mkubwa amabao Iran wenyewe wameshindwa kujua umetokana na nini na wanataka kuhaha kusingizia kuwa kuna mkono wa Mwanaume Israel!!!
Msemaji wa serikali ya Mapinduzi wa Iran amekiri kukosa uwezo wa kuu
zima moto huo ambao umenielewa kuwaka kwa masaa 15 mfululizo.

Iran kama tu inahangaika kuzima moto wake wa ndani kwa zaidi ya masaa 15 je moto wa kutoka nje atauweza kweli? Iran bado sana ana safari ndefu kudai anaweza kuishambulia Israel na hizi ni Mvua za rasharasha Mvua za Masika bado kabisa hazijaanza
 
Attachments

  • IMG_0439.mp4
    8.3 MB
  • video5793887887049103934.mp4
    793.2 KB
Iran bado mpaka asubuhi ya leo Inahangaika kuzima moto uliosababishwa na mlipuko mkubwa amabao Iran wenyewe wameshindwa kujua umetokana na nini na wanataka kuhaha kusingizia kuwa kuna mkono wa Mwanaume Israel!!!
Msemaji wa serikali ya Mapinduzi wa Iran amekiri kukosa uwezo wa KUU zima moto huo ambao umenielewa kuwaka kwa masaa 15 mfululizo.

Iran kama tu inahangaika kuzima moto wake wa ndani kwa zaidi ya masaa 15 je moto wa kutoka nje atauweza kweli? Iran bado sana ana safari ndefu kudai anaweza kuishambulia Israel na hizi ni MAUA za rasharasha MAUA za Masika bado kabisa hazijaanza
Usikimbilie kutoa lawama au kushutumu,au kutoa uamuzi juu ya jambo fulani bila kufanya utafiti kwanza
 
Sasa we uko Iran? mazingira ya tatizo unayajua?Kwani ule moto wa marekani iliwachukua siku ngapi kuuzima? na huku wana kila kitu,mbona hukutoa lawama au kutoa msimamo wako,acha kukurupuka
Acha ujinga tatizo la Marekani unalinganisha na Iran!! Huo utakuwa uzwazwa Iran kapigwa na kitu kizito anajitahidi sana kufichaficha kuficha aibu!!! Si astmę tu!!!!!!
 
Acha ujinga tatizo la Marekani unalinganisha na Iran!! Huo utakuwa uzwazwa Iran kapigwa na kitu kizito anajitahidi sana kufichaficha kuficha aibu!!! Si astmę tu!!!!!!
mjinga ni nani ? unashindwa kuelewa hoja unakimbilia kutumia lugha isiyo na staha,kama huna uwezo wa kuhimili majafiliano basi usiingie kwenye mijadala
 
mjinga ni nani ? unashindwa kuelewa hoja unakimbilia kutumia lugha isiyo na staha,kama huna uwezo wa kuhimili majafiliano basi usiingie kwenye mijadala
Mjinga ni wewe ambaye huelewi na kuambiwa mjinga si tusi wala si rugha isiyo na staha kama unavyodai wewe!! Kuna vitu vingi wewe huvijui na unajadili kwa Mihemko ndiyo maana unatoa mapovu mengi sana!!!
 
Mjinga ni wewe ambaye huelewi na kuambiwa mjinga si tusi wala si rugha isiyo na staha kama unavyodai wewe!! Kuna vitu vingi wewe huvijui na unajadili kwa Mihemko ndiyo maana unataka mapovu mengi sana!!!
Nikiendelea kujadiliana na wewe,ni kupoteza muda maana hujijui wakati unaamini unajujua
 
Nikiendelea kujadiliana na wewe,ni kupoteza muda maana hujijui wakati unaamini unajujua
Wewe ndiyo hujui unajadili mambo kwa mihemko ya kijinga!!! Ni bora ukanyamaza ujinga wako usijulikane na wengine!!
 
Jf imevamiwa na wajinga sana ,kuna watu wanataka kufatilia mjadala wajue kiundani ila.linatokea jinga linaharibu mjadala kisa linashabikia nchi fulani hii sio sawa tuache ushabilki tujikite kwenye hoja .ukimuona mtu mzima anashabikia dini utambue hayupo sawa kiakili kwa sisi waafrika dini zote ni za kigeni mababu zetu tu walizipokea na madhara yake ndio haya vijana mnakengeuka kutokana na kuleta ushabiki usio na tija.
 
YESU NI MUNGU WEWE PENDA USIPENDE.

IN JESUS WE MUST TRUST, BELIEVE AND WORSHIP.

JESUS AND ISRAEL FIRST AND FOREVER

YESU NA ISRAEL KWANZA NA MILELE

KATIKA YESU LAZIMA TUAMINI NA KUABUDU

GOD BLESS AND PROTECT ISRAEL, USA AND SAUDI ROYAL FAMILY

download.jpeg

Nyau de adriz
 
View attachment 3317405

Nyau de adriz
I am also a Christian; my name is Isaac. But I don't like useless arguments that have no benefit. Learn to grow
 
Sasa we uko Iran? mazingira ya tatizo unayajua?Kwani ule moto wa marekani iliwachukua siku ngapi kuuzima? na huku wana kila kitu,mbona hukutoa lawama au kutoa msimamo wako,acha kukurupuka
Hauko sawa mkuu

Kunywa maji mengi na agizia ka PEps hapo kwa manka, ka PEpS ka bariiid na pepcon ushushie nitalipia
 
Back
Top Bottom