baba sumayyah
Senior Member
- Sep 10, 2024
- 109
- 137
Kaka usibishane na watu ambao wanatumia hisia kuliko akili.mjinga ni nani ? unashindwa kuelewa hoja unakimbilia kutumia lugha isiyo na staha,kama huna uwezo wa kuhimili majafiliano basi usiingie kwenye mijadala