Usikimbilie kutoa lawama au kushutumu,au kutoa uamuzi juu ya jambo fulani bila kufanya utafiti kwanzaIran bado mpaka asubuhi ya leo Inahangaika kuzima moto uliosababishwa na mlipuko mkubwa amabao Iran wenyewe wameshindwa kujua umetokana na nini na wanataka kuhaha kusingizia kuwa kuna mkono wa Mwanaume Israel!!!
Msemaji wa serikali ya Mapinduzi wa Iran amekiri kukosa uwezo wa KUU zima moto huo ambao umenielewa kuwaka kwa masaa 15 mfululizo.
Iran kama tu inahangaika kuzima moto wake wa ndani kwa zaidi ya masaa 15 je moto wa kutoka nje atauweza kweli? Iran bado sana ana safari ndefu kudai anaweza kuishambulia Israel na hizi ni MAUA za rasharasha MAUA za Masika bado kabisa hazijaanza
Sasa we uko Iran? mazingira ya tatizo unayajua?Kwani ule moto wa marekani iliwachukua siku ngapi kuuzima? na huku wana kila kitu,mbona hukutoa lawama au kutoa msimamo wako,acha kukurupukaKitu kiko wazi utafiti wa nini sasa? Moto toka jana unawaka mpaka asubuhi hii unaendelea!!
Acha ujinga tatizo la Marekani unalinganisha na Iran!! Huo utakuwa uzwazwa Iran kapigwa na kitu kizito anajitahidi sana kufichaficha kuficha aibu!!! Si astmę tu!!!!!!Sasa we uko Iran? mazingira ya tatizo unayajua?Kwani ule moto wa marekani iliwachukua siku ngapi kuuzima? na huku wana kila kitu,mbona hukutoa lawama au kutoa msimamo wako,acha kukurupuka
😁😁😁 unachukulia poa moto siyo?Iran kama tu inahangaika kuzima moto wake wa ndani kwa zaidi ya masaa 15
mjinga ni nani ? unashindwa kuelewa hoja unakimbilia kutumia lugha isiyo na staha,kama huna uwezo wa kuhimili majafiliano basi usiingie kwenye mijadalaAcha ujinga tatizo la Marekani unalinganisha na Iran!! Huo utakuwa uzwazwa Iran kapigwa na kitu kizito anajitahidi sana kufichaficha kuficha aibu!!! Si astmę tu!!!!!!
Mjinga ni wewe ambaye huelewi na kuambiwa mjinga si tusi wala si rugha isiyo na staha kama unavyodai wewe!! Kuna vitu vingi wewe huvijui na unajadili kwa Mihemko ndiyo maana unatoa mapovu mengi sana!!!mjinga ni nani ? unashindwa kuelewa hoja unakimbilia kutumia lugha isiyo na staha,kama huna uwezo wa kuhimili majafiliano basi usiingie kwenye mijadala
Nikiendelea kujadiliana na wewe,ni kupoteza muda maana hujijui wakati unaamini unajujuaMjinga ni wewe ambaye huelewi na kuambiwa mjinga si tusi wala si rugha isiyo na staha kama unavyodai wewe!! Kuna vitu vingi wewe huvijui na unajadili kwa Mihemko ndiyo maana unataka mapovu mengi sana!!!
YESU NI MUNGU WEWE PENDA USIPENDE.Jf imevamiwa na wajinga sana ,kuna watu wanataka kufatilia mjadala wajue kiundani ila.linatokea jinga linaharibu mjadala kisa linashabikia nchi fulani hii sio sawa tuache ushabilki tujikite kwenye hoja .ukimuona mtu mzima anashabikia dini utambue hayupo sawa kiakili kwa sisi waafrika dini zote ni za kigeni mababu zetu tu walizipokea na madhara yake ndio haya vijana mnakengeuka kutokana na kuleta ushabiki usio na tija.
I am also a Christian; my name is Isaac. But I don't like useless arguments that have no benefit. Learn to growYESU NI MUNGU WEWE PENDA USIPENDE.
IN JESUS WE MUST TRUST, BELIEVE AND WORSHIP.
JESUS AND ISRAEL FIRST AND FOREVER
YESU NA ISRAEL KWANZA NA MILELE
KATIKA YESU LAZIMA TUAMINI NA KUABUDU
GOD BLESS AND PROTECT ISRAEL, USA AND SAUDI ROYAL FAMILY
View attachment 3317405
Nyau de adriz
Hauko sawa mkuuSasa we uko Iran? mazingira ya tatizo unayajua?Kwani ule moto wa marekani iliwachukua siku ngapi kuuzima? na huku wana kila kitu,mbona hukutoa lawama au kutoa msimamo wako,acha kukurupuka