baba sumayyah
Senior Member
- Sep 10, 2024
- 109
- 137
Kaka usibishane na watu ambao wanatumia hisia kuliko akili.mjinga ni nani ? unashindwa kuelewa hoja unakimbilia kutumia lugha isiyo na staha,kama huna uwezo wa kuhimili majafiliano basi usiingie kwenye mijadala
Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndipo utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzakoHauko sawa mkuu
Kunywa maji mengi na agizia ka PEps hapo kwa manka, ka PEpS ka bariiid na pepcon ushushie nitalipia
Kweli kabisaKaka usibishane na watu ambao wanatumia hisia kuliko akili.
Kwako umefanya hivyo mkuu?Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndipo utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako
Hatukutaki kwenye ukristo WEWE. Hatupendi upuz.I am also a Christian; my name is Isaac. But I don't like useless arguments that have no benefit. Learn to grow
Hahahahaha!! utaishi maisha ya Kinyangwisi na Kibarbarian mpaka lini ? You must grow Mongo umri unaenda bado una mindset yako mbovu haubadiliki tu .Hatukutaki kwenye ukristo WEWE. Hatupendi upuz.
Learn to grow mafiii yako?
Mbusii wewee!
hydroxo Chaliifrancisco mshamba_hachekwi min -me
Nyau de adriz
I am also a Christian; my name is Isaac. But I don't like useless arguments that have no benefit. Learn to grow
ni janga kubwa sana mkuuJf imevamiwa na wajinga sana ,kuna watu wanataka kufatilia mjadala wajue kiundani ila.linatokea jinga linaharibu mjadala kisa linashabikia nchi fulani hii sio sawa tuache ushabilki tujikite kwenye hoja .ukimuona mtu mzima anashabikia dini utambue hayupo sawa kiakili kwa sisi waafrika dini zote ni za kigeni mababu zetu tu walizipokea na madhara yake ndio haya vijana mnakengeuka kutokana na kuleta ushabiki usio na tija.
Nikijua tu mabwentenye wa tanzani kama ninyi mko wengi mnoAcha ujinga tatizo la Marekani unalinganisha na Iran!! Huo utakuwa uzwazwa Iran kapigwa na kitu kizito anajitahidi sana kufichaficha kuficha aibu!!! Si astmę tu!!!!!!
Ni ujinga tu kufikiri kuwa JF inevamiwa simply tu hoja yako imepingwa au hoja yako haina Mashiko!!!Jf imevamiwa na wajinga sana ,kuna watu wanataka kufatilia mjadala wajue kiundani ila.linatokea jinga linaharibu mjadala kisa linashabikia nchi fulani hii sio sawa tuache ushabilki tujikite kwenye hoja .ukimuona mtu mzima anashabikia dini utambue hayupo sawa kiakili kwa sisi waafrika dini zote ni za kigeni mababu zetu tu walizipokea na madhara yake ndio haya vijana mnakengeuka kutokana na kuleta ushabiki usio na tija.