Iran ikiendelea kurutubisha Uranium Israel itamilikishwa ndege ya kimkakati B-2!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Wabunge wa Marekani wameanzisha Sheria ya Bunker Buster, ambayo itaidhinisha Rais Trump kuhamisha ndege za B-2 na mabomu ya GBU-57 ya bunker-buster kwenda Israeli ikiwa Iran itarejelea utengenezaji wa silaha za nyuklia.

Hatua hiyo inajibu hofu kwamba Iran inaweza kuanza tena kurutubisha mali hivi karibuni licha ya mashambulizi ya hivi majuzi ya Marekani.

Wabunge wa Marekani wameanzisha Sheria ya Bunker Buster, ambayo itaidhinisha Rais Trump kuhamisha ndege za B-2 na mabomu ya GBU-57 ya bunker-buster kwenda Israeli ikiwa Iran itarejelea utengenezaji wa silaha za nyuklia. Hatua hiyo inajibu hofu kwamba Iran inaweza kuanza tena kurutubisha mali hivi karibuni licha ya migomo ya hivi majuzi ya Marekani.
Israeli hana hamu tena ya kufanya uchokozi kwa wairan, kipondo alichokipata ndani ya siku 12 hatakuja kukisahau tena cha kushangaza Israel ilijiandaa na hiyo vita kwa mda mrefu sana
 
Walikua wanapima kina cha bahari kwa ncha ya kidolee 🤣
walijua makombora ya Iran yatakuja moja moja kama yale ya lile kundi la Houth kumbe yalikua yanamiminika mithili ya mvua mpaka mifumo yao ya ulinzi ikashindwa kufanya kazi
 
Wabunge wa Marekani wameanzisha Sheria ya Bunker Buster, ambayo itaidhinisha Rais Trump kuhamisha ndege za B-2 na mabomu ya GBU-57 ya bunker-buster kwenda Israeli ikiwa Iran itarejelea utengenezaji wa silaha za nyuklia. Hatua hiyo inajibu hofu kwamba Iran inaweza kuanza tena kurutubisha mali hivi karibuni licha ya migomo ya hivi majuzi ya Marekani.
Kumbe Iran inatengeneza silaha za nuclear??
 
Wabunge wa Marekani wameanzisha Sheria ya Bunker Buster, ambayo itaidhinisha Rais Trump kuhamisha ndege za B-2 na mabomu ya GBU-57 ya bunker-buster kwenda Israeli ikiwa Iran itarejelea utengenezaji wa silaha za nyuklia. Hatua hiyo inajibu hofu kwamba Iran inaweza kuanza tena kurutubisha mali hivi karibuni licha ya migomo ya hivi majuzi ya Marekani.
"Mtumwa wa bwana"
Nikisema rais wa marekani Donald trump, kwasasa ndie kiongozi mkuu wa taifa la Israel kuna mwenye ujasiri wakupinga kwa hoja!?
"Chukua hii kama muongozo;
Bwana trump ameshatuma mapendekezo ya kusitisha vita kati ya Israel na Hamas,akiwaomba Hamas kukubali pendekezo hilo kwani Israel haiwezi kukataa pendekezo lake.
Ukweli ni kwamba Israel haijatoa jibu lolote kwa pendekezo la trump.
"Ongeza na hili;
Ni trump alieiamrisha Israel kusimamisha vita dhidi ya Iran, akiwafokea kwa ukali viongozi wa Israel waliotaka kujibu shambulizi kali la Iran, akiwataka marubani wa Israel waliokuwa tayari angani na makombora yao wasiyadoshe badala yake wageuze warudinayo nyumbani.
 
Israeli hana hamu tena ya kufanya uchokozi kwa wairan, kipondo alichokipata ndani ya siku 12 hatakuja kukisahau tena cha kushangaza Israel ilijiandaa na hiyo vita kwa mda mrefu sana
Aksante sana kwa kusema kinyume!!! Ni kweli Iran hana hamu ya kufanya uchokozi kwa Israel maana Kipondo walichokipata ndani ya siku 12 Iran hawatakuja kukisahau maana walipoteza Makamanda 30+ wanasayansi 60+ waliokuwa wanafanya kazi ya urutubishaji uranium haramu, Makamanda 60+ wa Jeshi la anga la Iran, kuharibiwa kwa mifumo ya ulinzi ya anga yote ya Iran, na kuharibiwa kwa vinu vitatu vya Nuclear.
 
Back
Top Bottom