Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 12,492
- 18,258
Tehe tehe teheintel zinasema israeli kumezikwa makamanda wengi zaidi...kwanini mnaficha ficha sana majirani tulitaka tuudhurie msiba wa the one and the only a.k.a wateule
Tehe tehe teheintel zinasema israeli kumezikwa makamanda wengi zaidi...kwanini mnaficha ficha sana majirani tulitaka tuudhurie msiba wa the one and the only a.k.a wateule
Takiya ndio niniTAQIYYAH hiyo
Wewe unaamini ujinga tu Iran hana uwezo wa kudungua B-2!,Mm ninachoamini iran alikua na uwezo wa kuitungua hiyo B-2 ila alijua fika akifanya huo ujinga marekani ataingia vitani rasmi.........muda mwingine tunasema tu bora upewe fedheha kuliko majuto
Mkuu hata huyo mrusi hawezi kudhubutu kuitungua B-2. ...REVENGE YAKE ITAKUA SIO YA KAWAIDAWewe unaamini ujinga tu Iran hana uwezo wa kudungua B-2!,
Mimi ni mlokole mwenzako nimeokoka nampenda JehovaSiyo Takiya ni TAQIYYAH yaani kusema uongo kwa ajili ya Mnyazimungu wenu!!
Sisi Hamas, Hezbollah na Iran tumeyashinda mazayuni kwenye vita.Tu ambie alisemea wapi? Au wewe ukisema ndiyo waziri wa israel kasema? Kusema uongo kwenu ilishakuwa jadi yenu!!!
Ni lini ulisikia Iran Alianza uchokozi? Halafu kuua watu kwa kuvizia hyo siyo vita ni ugaidi. Hata US tunaambiwa ni Taifa madhubuti kiulinzi lkn wahuni walilipua had pentagon makao makuu ya wizara ya ulinzi.Aksante sana kwa kusema kinyume!!! Ni kweli Iran hana hamu ya kufanya uchokozi kwa Israel maana Kipondo walichokipata ndani ya siku 12 Iran hawatakuja kukisahau maana walipoteza Makamanda 30+ wanasayansi 60+ waliokuwa wanafanya kazi ya urutubishaji uranium haramu, Makamanda 60+ wa Jeshi la anga la Iran, kuharibiwa kwa mifumo ya ulinzi ya anga yote ya Iran, na kuharibiwa kwa vinu vitatu vya Nuclear.
Iran inaposaidia makundi ya Magaidi kwako wewe unaona ni sawa? Wewe unaonekana hujui kitu “Vita ni vita Mura” hakuna kuleta visingizio Uchwara hata iwe jiwe ni vita tu. Iran kapigwa vibaya mna kuja hapa na visingizio kedekede ili kujifariji na kujipa moyo kwa kipondo hicho!!Ni lini iran
Ni lini ulisikia Iran Alianza uchokozi? Halafu kuua watu kwa kuvizia hyo siyo vita ni ugaidi. Hata US tunaambiwa ni Taifa madhubuti kiulinzi lkn wahuni walilipua had pentagon makao makuu ya wizara ya ulinzi.
Kwema makuu. Huku tunaendelea kula kiapo cha utii Kwa kipenzi chetu mwamba mkombozi wa waislamu Imam Hussain ibn Ali AS.Echolima1 (Choo cha kulima), habari ya uzima mkuu.
Baada ya kufanya mauaji ya kutisha Oct 07,2023 sasa hivi mmepanga upuuzi huo mtaufanyia wapi tena?Kwema makuu. Huku tunaendelea kula kiapo cha utii Kwa kipenzi chetu mwamba mkombozi wa waislamu Imam Hussain ibn Ali AS.
View attachment 3454715View attachment 3454717View attachment 3454718