Iran ikiendelea kurutubisha Uranium Israel itamilikishwa ndege ya kimkakati B-2!!

Iran ikiendelea kurutubisha Uranium Israel itamilikishwa ndege ya kimkakati B-2!!

Israeli hana hamu tena ya kufanya uchokozi kwa wairan, kipondo alichokipata ndani ya siku 12 hatakuja kukisahau tena cha kushangaza Israel ilijiandaa na hiyo vita kwa mda mrefu sana
Israel imejenga hiyo miundo mbinu ya miaka karibu 20 ila cha kushangaza iran ameipiga ndani ya siku 12 itawachukua miaka 6 mpaka 7 kuitengeneza hiyo nchi huo ni ujinga wa netanyahu
 
Si mlimsema mmeharibu kila kitu? Tuliishakubaliana Kwamba mpango wa nyuklia wa Iran ulishaharibiwa mazima Sasa nini Tena hiki?
 
Wabunge wa Marekani wameanzisha Sheria ya Bunker Buster, ambayo itaidhinisha Rais Trump kuhamisha ndege za B-2 na mabomu ya GBU-57 ya bunker-buster kwenda Israeli ikiwa Iran itarejelea utengenezaji wa silaha za nyuklia.

Hatua hiyo inajibu hofu kwamba Iran inaweza kuanza tena kurutubisha mali hivi karibuni licha ya mashambulizi ya hivi majuzi ya Marekani.


upo kumbe,mshamaliza kuzika ndugu zenu wayahudi huko
 
Mayahud Wa tandahimba sikilizeni wachambuzi

🇮🇱🇺🇸🇮🇷 Former CIA analyst Larry Johnson:
“The United States was forced to intervene in the war to deter Iran and prevent them from destroying Israel. Many people don't realize that Israel was a week or two away from total defeat. Some say, 'Oh my God, you're just repeating Iranian propaganda.' Well, listen to me...
Israel has two seaports, and Iran closed them down, so there was no maritime traffic to and from Israel. Iran also destroyed two oil refineries in Haifa and Ashdod, disrupting their production. Iran closed Israel's only international airport. Israel simply couldn't continue with this”.

@Palestine_Updates
 
Tangu lini Israel akalialia raia kupigwa? Nyie makobazi Ndo Hua mnalialia hvy baada ya kulambwa
Hahaha umesahau Israel ndio imeomba ceasefire au unajitoa ufahamu? Mpaka Leo vifusi havijaondolewa huko Israel na wayahudi Bado wanalala kwenye mahema. Anzisheni Tena muone
 
Israeli hana hamu tena ya kufanya uchokozi kwa wairan, kipondo alichokipata ndani ya siku 12 hatakuja kukisahau tena cha kushangaza Israel ilijiandaa na hiyo vita kwa mda mrefu sana
Unaongea kitu gani hapa?

Hujaskia Iran analia anaomba alipwe fidia kwa hasara alizopata?
 
Mayahud Wa tandahimba sikilizeni wachambuzi

🇮🇱🇺🇸🇮🇷 Former CIA analyst Larry Johnson:
“The United States was forced to intervene in the war to deter Iran and prevent them from destroying Israel. Many people don't realize that Israel was a week or two away from total defeat. Some say, 'Oh my God, you're just repeating Iranian propaganda.' Well, listen to me...
Israel has two seaports, and Iran closed them down, so there was no maritime traffic to and from Israel. Iran also destroyed two oil refineries in Haifa and Ashdod, disrupting their production. Iran closed Israel's only international airport. Israel simply couldn't continue with this”.

@Palestine_Updates
Ni kweli...
Iran sasa imewekwa katika nafasi ambayo ni nchi hatari zaidi kwa mashariki ya kati, Tel aviv na Washington hawalali na wanaandaa mipango zaidi kuimaliza Iran kwa maana jaribio la kwanza limefeli...

Iran sasa inachukuliwa kama taifa hatari zaidi kuliko miaka yote ya nyuma, you can imagine Iran wamesema hawataki tena ushirikiano na IAEA, hawataki kuona wakaguzi wao na camera zao zilizokuwa kwenye vinu vya nuclear zimetolewa zote...

Badala ya kutuliza na kumaliza tatizo, Netanyahu na Trump wamekuazaidi tatizo...
 
Jibu ni Iran alikuwa anarutubisha uranium ili aweze kutengeneza Bomu la Nuclear bahati nzuri wajanja wakamuwahi!!!
Mbona taarifa yako inakinzana na taarifa ya International Atomic Energy Argency??
 
Mkuu kadri Israel anawezeshwa na mabwana zao marekani kwa kupewa ndege za B-2 ndivyo Iran anavyo nunua ndege 40 CJ-10 kutoka China
Ndege-vita CJ-10 si ndege ya Kimkakati huwezi kulinganisha na B-2 ndege ya kimkakati (Strategics Bomber) inayoweza kuruka zaidi ya masaa 36 bila kutua. Mchina ni mfanyabiashara mara Mia Iran angeenda kujipendekeza kwa hawala yake Russia tu!!
 
Inaonekana ushafanya kaz kwenye jeshi la marekan au Iran, unaonekana mtaalamu Sana WA vifaa vya kivita
Kuzijua ndege za kivita sio lazima uwe mwanajeshi sa we umezijua vipi hizo B2 ilifanya kazi kwenye jeshi la anga la USA. Kichaa sio lazima arushe mawe hata fikra zake tu unamjua ni zaidi ya kichaa.
 
Kuzijua ndege za kivita sio lazima uwe mwanajeshi sa we umezijua vipi hizo B2 ilifanya kazi kwenye jeshi la anga la USA. Kichaa sio lazima arushe mawe hata fikra zake tu unamjua ni zaidi ya kichaa.
Sawa mtaalamu
 
Back
Top Bottom