Kumewahi kua na malalamiko ya namna hi humu au kinyume chake?Msije kuanza kusema Iran anapiga raia maana mnaanzaga hivi hivi
Nani aliomba poo? Nani alilusha taulo kwenye ulingo? Israel anapokuwa kwenye situation ya ushindi anakubaligi ceasefire?Aksante sana kwa kusema kinyume!!! Ni kweli Iran hana hamu ya kufanya uchokozi kwa Israel maana Kipondo walichokipata ndani ya siku 12 Iran hawatakuja kukisahau maana walipoteza Makamanda 30+ wanasayansi 60+ waliokuwa wanafanya kazi ya urutubishaji uranium haramu, Makamanda 60+ wa Jeshi la anga la Iran, kuharibiwa kwa mifumo ya ulinzi ya anga yote ya Iran, na kuharibiwa kwa vinu vitatu vya Nuclear.
Kwamba hukuona au unajitoa akili au huku fuatilia madhara ya vita ya siku 12 kati ya Iran na Israel?Kumewahi kua na malalamiko ya namna hi humu au kinyume chake?
Ndio maana nimeweka alama ya ? Hapo! Kumbukumbu zangu ni malalamiko ya watu humu Israel kuua kina mama na watoto huko Gaza, hizo zipo nyingi. Kuhusu maandishi ya humu kuhusiana na hiyo ya 12 days of war mengi sikuona kama ni lawama, instead niliona watu wakilinganisha kati ya madhara alioyapata Iran kutoka kwa Israel na madhara alioyapata Israel kutoka kwa Iran, kwamba Iran alijikita kuua raia while Israel alijikita kuua wataalamu wa nuclear, sehemu zenye silaha za nuclear na viongozi; hilo kwangu sikuona kama ni lawama, unless kuna mengine yalinipita, sikuyasomaKwamba hukuona au unajitoa akili au huku fuatilia madhara ya vita ya siku 12 kati ya Iran na Israel?
Yupo waziri mmoja wa Israel aliilalamikia Iran kwenye vyombo vya habari kwamba "inalenga makaziNdio maana nimeweka alama ya ? Hapo! Kumbukumbu zangu ni malalamiko ya watu humu Israel kuua kina mama na watoto huko Gaza, hizo zipo nyingi. Kuhusu maandishi ya humu kuhusiana na hiyo ya 12 days of war mengi sikuona kama ni lawama, instead niliona watu wakilinganisha kati ya madhara alioyapata Iran kutoka kwa Israel na madhara alioyapata Israel kutoka kwa Iran, kwamba Iran alijikita kuua raia while Israel alijikita kuua wataalamu wa nuclear, sehemu zenye silaha za nuclear na viongozi; hilo kwangu sikuona kama ni lawama, unless kuna mengine yalinipita, sikuyasoma
wangepitisha kwanza bajeti yakuijenga upya Israel ili kuwapunguzia raia wa Israel muda wa kuishi kwenye mahandaki.Wabunge wa Marekani wameanzisha Sheria ya Bunker Buster, ambayo itaidhinisha Rais Trump kuhamisha ndege za B-2 na mabomu ya GBU-57 ya bunker-buster kwenda Israeli ikiwa Iran itarejelea utengenezaji wa silaha za nyuklia.
Hatua hiyo inajibu hofu kwamba Iran inaweza kuanza tena kurutubisha mali hivi karibuni licha ya mashambulizi ya hivi majuzi ya Marekani.
Huu ndo ukweli .. wajemi vita wanaviweza walikuwa wanapiga ya maeneo ya msingi kwanza kuhakikisha uchumia na uendeshaji wa vita israel unaruka juu na alikuwa ameshaafanikiwa kabisa haifa ni eneo la viwand na pia ndo sehem yenye refine kubwa kama wangefanikiwa kupiga ashdode na na ben gurio airport netanyahu angebaki tu kwenye mahandake kwa kifupi nchi ilikiwa inaenda kukalaspe na waisrel hawakuwahi kupigana wakashuguhudia watu wakifukuliwa kwenye vifusi kama ilivyokuwaMayahud Wa tandahimba sikilizeni wachambuzi
🇮🇱🇺🇸🇮🇷 Former CIA analyst Larry Johnson:
“The United States was forced to intervene in the war to deter Iran and prevent them from destroying Israel. Many people don't realize that Israel was a week or two away from total defeat. Some say, 'Oh my God, you're just repeating Iranian propaganda.' Well, listen to me...
Israel has two seaports, and Iran closed them down, so there was no maritime traffic to and from Israel. Iran also destroyed two oil refineries in Haifa and Ashdod, disrupting their production. Iran closed Israel's only international airport. Israel simply couldn't continue with this”.
@Palestine_Updates
Kwa hiyo yeye iran hajamsoma tu kwa kuwa ni kipofuIsrael sasa hivi kashamsoma Irani wapi pa kupiga
Iran kamsoma wapi Israel wakati alikuwa anarusha tu makombora bila kuangalia yanatua wapiKwa hiyo yeye iran hajamsoma tu kwa kuwa ni kipofu
Nakushukuru sana kwa kuongea kinyume maana unaogopa kusema ukweli Wafuga Midevu na Majini wenzako wasikuchukie!!upo kumbe,mshamaliza kuzika ndugu zenu wayahudi huko
Kikawaida Iran ndiye aliyeanza kupigwa kwa maana ya kuchokozwa na hakupaswa kabisa kukubali ceasefire maana yeye ndiye kachokozwa!!! Lakini kwa sababu alizidiwa kwenye uwanja wa vita ilibidi tu akubali usitishwaji mapigano maana hakuwa na jinsi ya kufanya.Nani aliomba poo? Nani alilusha taulo kwenye ulingo? Israel anapokuwa kwenye situation ya ushindi anakubaligi ceasefire?
Akili za kukaririshwa changanya na zako
Basi ulipitiwa hukuyasoma . Israel ililalamika sana kwamba Iran inashambulia raia na makazi ya watu na Israel ndio iliomba vita isimamishwe.Ndio maana nimeweka alama ya ? Hapo! Kumbukumbu zangu ni malalamiko ya watu humu Israel kuua kina mama na watoto huko Gaza, hizo zipo nyingi. Kuhusu maandishi ya humu kuhusiana na hiyo ya 12 days of war mengi sikuona kama ni lawama, instead niliona watu wakilinganisha kati ya madhara alioyapata Iran kutoka kwa Israel na madhara alioyapata Israel kutoka kwa Iran, kwamba Iran alijikita kuua raia while Israel alijikita kuua wataalamu wa nuclear, sehemu zenye silaha za nuclear na viongozi; hilo kwangu sikuona kama ni lawama, unless kuna mengine yalinipita, sikuyasoma
Nakumbuka ndani ya zile siku 12 za Jahannam kwa Israel, ulitoweka kabisa humu jukwaani.kwahiyo kazi yakufuatilia taarifa zilizokupita ni yako mwenyewe,usinipe kazi isiyo na ujira!.Huyo waziri hana jina? Chombo cha habari gani? Lini alisema? Tuwekee hapa hiyo link na wengine tuone!!!
Kwani zilishambuliaje ndani ya Iran?Mifumo ya ulinzi anga la Iran hakuna kitu.Israel/Us wanajipigia tu kama Malaya wa kimboka,buguruni!Zitapitia wapi, kufika iran.
intel zinasema israeli kumezikwa makamanda wengi zaidi...kwanini mnaficha ficha sana majirani tulitaka tuudhurie msiba wa the one and the only a.k.a wateuleNakushukuru sana kwa kuongea kinyume maana unaogopa kusema ukweli Wafuga Midevu na Majini wenzako wasikuchukie!!
Ukweli ni kwamba Iran Ijumaa walizika Makamanda waandamizi
Kikawaida Iran ndiye aliyeanza kupigwa kwa maana ya kuchokozwa na hakupaswa kabisa kukubali ceasefire maana yeye ndiye kachokozwa!!! Lakini kwa sababu alizidiwa kwenye uwanja wa vita ilibidi tu akubali usitishwaji mapigano maana hakuwa na jinsi ya kufanya.
Kwanza alipoteza makamanda waandamizi 30+ Makamanda wa jeshi la anga 33 na wanasayansi 60+ na anga lote la Iran lilikuwa chini ya udhibiti wa majeshi ya Israel ndiyo maana ndege zao zilikuwa zinaingia na kutoka bila wasiwasi wowote ule!!
Kwa hali hiyo Iran hakuwa na jinsi isipokuwa kukubali mkataba wa usitishwaji mapigano kuogopa utawala wake wa Ayatollah kuangamizwa!!
Achana naye huyo kichaaNakumbuka ndani ya zile siku 12 za Jahannam kwa Israel, ulitoweka kabisa humu jukwaani.kwahiyo kazi yakufuatilia taarifa zilizokupita ni yako mwenyewe,usinipe kazi isiyo na ujira!.