Iran ikiendelea kurutubisha Uranium Israel itamilikishwa ndege ya kimkakati B-2!!

Iran ikiendelea kurutubisha Uranium Israel itamilikishwa ndege ya kimkakati B-2!!

kuna waziri wa israel alikiri hawakujua uwezo wa iran wa makombora km ni mkubwa kiasi hicho maana wali estimate vibaya ndio maana israel alikubali kusitisha vita haraka haraka apumue.
Tu ambie alisemea wapi? Au wewe ukisema ndiyo waziri wa israel kasema? Kusema uongo kwenu ilishakuwa jadi yenu!!!
 
Israeli hana hamu tena ya kufanya uchokozi kwa wairan, kipondo alichokipata ndani ya siku 12 hatakuja kukisahau tena cha kushangaza Israel ilijiandaa na hiyo vita kwa mda mrefu sana
mbona hakuzika magenerali na wanasayansi wake kama Iran? nani kapata kipondo hapo
 
Aksante sana kwa kusema kinyume!!! Ni kweli Iran hana hamu ya kufanya uchokozi kwa Israel maana Kipondo walichokipata ndani ya siku 12 Iran hawatakuja kukisahau maana walipoteza Makamanda 30+ wanasayansi 60+ waliokuwa wanafanya kazi ya urutubishaji uranium haramu, Makamanda 60+ wa Jeshi la anga la Iran, kuharibiwa kwa mifumo ya ulinzi ya anga yote ya Iran, na kuharibiwa kwa vinu vitatu vya Nuclear.
Nani alianzisha mashambulizi?
 
Waarabu-koko kwa kujikomba kwa waarabu mnakopi kila kitu mpaka majina!!!
Vipi kuhusu nyie naojiona watwana mbele ya waisrael mpaka mmefikia hatua ya kusema mungu wenu hawazi kuwabariki walokole wa kwimba mpaka hao walokole wawabariki binadam wenzao wa Israel ?
 
Aksante sana kwa kusema kinyume!!! Ni kweli Iran hana hamu ya kufanya uchokozi kwa Israel maana Kipondo walichokipata ndani ya siku 12 Iran hawatakuja kukisahau maana walipoteza Makamanda 30+ wanasayansi 60+ waliokuwa wanafanya kazi ya urutubishaji uranium haramu, Makamanda 60+ wa Jeshi la anga la Iran, kuharibiwa kwa mifumo ya ulinzi ya anga yote ya Iran, na kuharibiwa kwa vinu vitatu vya Nuclear.
Ila we kwenye ile post si ulisema Iran ina nguvu kuliko Israel kijeshi au niiweke hapa..
 
Ingia google utamwona akilia na kumlaumu mkuu wa mosad kwa kuwalocha na kuwaingiza mkenge
Google ndiye mungu wenu siku hizi? Kila kitu google!! Tuletee hapa hapa tuuone huo UHARO na sisi tuusome!!!
 
Ila we kwenye ile post si ulisema Iran ina nguvu kuliko Israel kijeshi au niiweke hapa..
Endelea tu ku edit Post za watu wengine ili tu kufanikisha uongo na Upotoshaji unaokusudia!!!! Maana ku edit Post hujaanza leo!!!
 
Wabunge wa Marekani wameanzisha Sheria ya Bunker Buster, ambayo itaidhinisha Rais Trump kuhamisha ndege za B-2 na mabomu ya GBU-57 ya bunker-buster kwenda Israeli ikiwa Iran itarejelea utengenezaji wa silaha za nyuklia. Hatua hiyo inajibu hofu kwamba Iran inaweza kuanza tena kurutubisha mali hivi karibuni licha ya mashambulizi ya hivi majuzi ya Marekani.
Mkuu kadri Israel anawezeshwa na mabwana zao marekani kwa kupewa ndege za B-2 ndivyo Iran anavyo nunua ndege 40 CJ-10 kutoka China
 
Back
Top Bottom