Mwarabu wa Nzega au MakambakoMwarabu-koko hujambo?
Mbona kachapika we vepe?Msije kuanza kusema Iran anapiga raia maana mnaanzaga hivi hivi
Israeli hana hamu tena ya kufanya uchokozi kwa wairan, kipondo alichokipata ndani ya siku 12 hatakuja kukisahau tena cha kushangaza Israel ilijiandaa na hiyo vita kwa mda mrefu sanaWabunge wa Marekani wameanzisha Sheria ya Bunker Buster, ambayo itaidhinisha Rais Trump kuhamisha ndege za B-2 na mabomu ya GBU-57 ya bunker-buster kwenda Israeli ikiwa Iran itarejelea utengenezaji wa silaha za nyuklia. Hatua hiyo inajibu hofu kwamba Iran inaweza kuanza tena kurutubisha mali hivi karibuni licha ya migomo ya hivi majuzi ya Marekani.
Walikua wanapima kina cha bahari kwa ncha ya kidolee 🤣Israeli hana hamu tena ya kufanya uchokozi kwa wairan, kipondo alichokipata ndani ya siku 12 hatakuja kukisahau tena cha kushangaza Israel ilijiandaa na hiyo vita kwa mda mrefu sana
Hii ndio ile kwenye kazi za fasihi tunaita PLOT TWIST!!!Msije kuanza kusema Iran anapiga raia maana mnaanzaga hivi hivi
Tangu lini Israel akalialia raia kupigwa? Nyie makobazi Ndo Hua mnalialia hvy baada ya kulambwaMsije kuanza kusema Iran anapiga raia maana mnaanzaga hivi hivi
Wataomba ceasefire baada ya siku tatu tu haha, vichaa huanzisha kurusha mawe siku zote kama walivyo hao Israel.Msije kuanza kusema Iran anapiga raia maana mnaanzaga hivi hivi
Kumbe Iran inatengeneza silaha za nuclear??Wabunge wa Marekani wameanzisha Sheria ya Bunker Buster, ambayo itaidhinisha Rais Trump kuhamisha ndege za B-2 na mabomu ya GBU-57 ya bunker-buster kwenda Israeli ikiwa Iran itarejelea utengenezaji wa silaha za nyuklia. Hatua hiyo inajibu hofu kwamba Iran inaweza kuanza tena kurutubisha mali hivi karibuni licha ya migomo ya hivi majuzi ya Marekani.
kuna waziri wa israel alikiri hawakujua uwezo wa iran wa makombora km ni mkubwa kiasi hicho maana wali estimate vibaya ndio maana israel alikubali kusitisha vita haraka haraka apumue.Wataomba ceasefire baada ya siku tatu tu haha, vichaa huanzisha kurusha mawe siku zote kama walivyo hao Israel.
"Mtumwa wa bwana"Wabunge wa Marekani wameanzisha Sheria ya Bunker Buster, ambayo itaidhinisha Rais Trump kuhamisha ndege za B-2 na mabomu ya GBU-57 ya bunker-buster kwenda Israeli ikiwa Iran itarejelea utengenezaji wa silaha za nyuklia. Hatua hiyo inajibu hofu kwamba Iran inaweza kuanza tena kurutubisha mali hivi karibuni licha ya migomo ya hivi majuzi ya Marekani.
Aksante sana kwa kusema kinyume!!! Ni kweli Iran hana hamu ya kufanya uchokozi kwa Israel maana Kipondo walichokipata ndani ya siku 12 Iran hawatakuja kukisahau maana walipoteza Makamanda 30+ wanasayansi 60+ waliokuwa wanafanya kazi ya urutubishaji uranium haramu, Makamanda 60+ wa Jeshi la anga la Iran, kuharibiwa kwa mifumo ya ulinzi ya anga yote ya Iran, na kuharibiwa kwa vinu vitatu vya Nuclear.Israeli hana hamu tena ya kufanya uchokozi kwa wairan, kipondo alichokipata ndani ya siku 12 hatakuja kukisahau tena cha kushangaza Israel ilijiandaa na hiyo vita kwa mda mrefu sana