Israel imejenga hiyo miundo mbinu ya miaka karibu 20 ila cha kushangaza iran ameipiga ndani ya siku 12 itawachukua miaka 6 mpaka 7 kuitengeneza hiyo nchi huo ni ujinga wa netanyahuIsraeli hana hamu tena ya kufanya uchokozi kwa wairan, kipondo alichokipata ndani ya siku 12 hatakuja kukisahau tena cha kushangaza Israel ilijiandaa na hiyo vita kwa mda mrefu sana
upo kumbe,mshamaliza kuzika ndugu zenu wayahudi hukoWabunge wa Marekani wameanzisha Sheria ya Bunker Buster, ambayo itaidhinisha Rais Trump kuhamisha ndege za B-2 na mabomu ya GBU-57 ya bunker-buster kwenda Israeli ikiwa Iran itarejelea utengenezaji wa silaha za nyuklia.
Hatua hiyo inajibu hofu kwamba Iran inaweza kuanza tena kurutubisha mali hivi karibuni licha ya mashambulizi ya hivi majuzi ya Marekani.
Nimetoa angalizo tu najuwa mtasema si tumeona mlisema kuwa Iran anapiga raia na makazi badala ya maneno ya kijeshi.Mbona kachapika we vepe?
Kawatandika walijua Iran ni Gaza atapigwa atulie tu😂Hii ndio ile kwenye kazi za fasihi tunaita PLOT TWIST!!!
Ayatollah ametuinua sana.
Sio kweli,bali USA na washirika wake,hawataki utawala uliopo Iran .Iran inataka kuharibiwa
Hahaha umesahau Israel ndio imeomba ceasefire au unajitoa ufahamu? Mpaka Leo vifusi havijaondolewa huko Israel na wayahudi Bado wanalala kwenye mahema. Anzisheni Tena muoneTangu lini Israel akalialia raia kupigwa? Nyie makobazi Ndo Hua mnalialia hvy baada ya kulambwa
Unaongea kitu gani hapa?Israeli hana hamu tena ya kufanya uchokozi kwa wairan, kipondo alichokipata ndani ya siku 12 hatakuja kukisahau tena cha kushangaza Israel ilijiandaa na hiyo vita kwa mda mrefu sana
Ni kweli...Mayahud Wa tandahimba sikilizeni wachambuzi
🇮🇱🇺🇸🇮🇷 Former CIA analyst Larry Johnson:
“The United States was forced to intervene in the war to deter Iran and prevent them from destroying Israel. Many people don't realize that Israel was a week or two away from total defeat. Some say, 'Oh my God, you're just repeating Iranian propaganda.' Well, listen to me...
Israel has two seaports, and Iran closed them down, so there was no maritime traffic to and from Israel. Iran also destroyed two oil refineries in Haifa and Ashdod, disrupting their production. Iran closed Israel's only international airport. Israel simply couldn't continue with this”.
@Palestine_Updates
Mbona taarifa yako inakinzana na taarifa ya International Atomic Energy Argency??Jibu ni Iran alikuwa anarutubisha uranium ili aweze kutengeneza Bomu la Nuclear bahati nzuri wajanja wakamuwahi!!!
Huyo ni mwehu huwa anatoa taarifa zake binafsiMbona taarifa yako inakinzana na taarifa ya International Atomic Energy Argency??
Me hua hata sielewi kua wananufaika vipi na huo uongo waoHuyo ni mwehu huwa anatoa taarifa zake binafsi
Hakuna faida ila ujinga umewajaaMe hua hata sielewi kua wananufaika vipi na huo uongo wao
Wanapata faida ipi??
Ndege-vita CJ-10 si ndege ya Kimkakati huwezi kulinganisha na B-2 ndege ya kimkakati (Strategics Bomber) inayoweza kuruka zaidi ya masaa 36 bila kutua. Mchina ni mfanyabiashara mara Mia Iran angeenda kujipendekeza kwa hawala yake Russia tu!!Mkuu kadri Israel anawezeshwa na mabwana zao marekani kwa kupewa ndege za B-2 ndivyo Iran anavyo nunua ndege 40 CJ-10 kutoka China
Kuzijua ndege za kivita sio lazima uwe mwanajeshi sa we umezijua vipi hizo B2 ilifanya kazi kwenye jeshi la anga la USA. Kichaa sio lazima arushe mawe hata fikra zake tu unamjua ni zaidi ya kichaa.Inaonekana ushafanya kaz kwenye jeshi la marekan au Iran, unaonekana mtaalamu Sana WA vifaa vya kivita
Sawa mtaalamuKuzijua ndege za kivita sio lazima uwe mwanajeshi sa we umezijua vipi hizo B2 ilifanya kazi kwenye jeshi la anga la USA. Kichaa sio lazima arushe mawe hata fikra zake tu unamjua ni zaidi ya kichaa.
Dah, ama kweli nyani haoni kundule!Msije kuanza kusema Iran anapiga raia maana mnaanzaga hivi hivi
Hahaha wanajitoa akiliDah, ama kweli nyani haoni kundule!
Kwahiyo Israel ndio inalalamika kuwa Iran inaua raia!? Wao kule Gaza wanaua ngedere!?
Zitapitia wapi, kufika iran.Hizi B-2 bomber zimeshambulia Iran mara moja zimeleta majanga huko.Sijui zikishambulia wiki nzima hali itakuwaje!?