Iran ikiendelea kurutubisha Uranium Israel itamilikishwa ndege ya kimkakati B-2!!

intel zinasema israeli kumezikwa makamanda wengi zaidi...kwanini mnaficha ficha sana majirani tulitaka tuudhurie msiba wa the one and the only a.k.a wateule
Tehe tehe tehe
 
Mm ninachoamini iran alikua na uwezo wa kuitungua hiyo B-2 ila alijua fika akifanya huo ujinga marekani ataingia vitani rasmi.........muda mwingine tunasema tu bora upewe fedheha kuliko majuto
 
Mm ninachoamini iran alikua na uwezo wa kuitungua hiyo B-2 ila alijua fika akifanya huo ujinga marekani ataingia vitani rasmi.........muda mwingine tunasema tu bora upewe fedheha kuliko majuto
Wewe unaamini ujinga tu Iran hana uwezo wa kudungua B-2!,
 
Tu ambie alisemea wapi? Au wewe ukisema ndiyo waziri wa israel kasema? Kusema uongo kwenu ilishakuwa jadi yenu!!!
Sisi Hamas, Hezbollah na Iran tumeyashinda mazayuni kwenye vita.
1-Hamas tumeua mazayuni "aftatu". Mazayuni yameua watu tisaini alfu tu na kuigeuza Ghaza kifusi/rubbles.
2-Sisi Hezbollah tumeua mazayuni 200.Wao wameua maelfu tu na tumefutika kimtindo .Tumeshinda kwa jina la Allah.
3-Mazayuni yameua majenerali,wanasayansi wetu hapa Iran kwa wingi pamoja na wananchi wengine wengi tu.Nasi tumeua mazayuni 24.Tumeyashinda.Death to Israel!Death to Americans!
 
Basi tuseme Mnyazimungu wao!!!!!
 
Ni lini iran
Ni lini ulisikia Iran Alianza uchokozi? Halafu kuua watu kwa kuvizia hyo siyo vita ni ugaidi. Hata US tunaambiwa ni Taifa madhubuti kiulinzi lkn wahuni walilipua had pentagon makao makuu ya wizara ya ulinzi.
 
Iran inaposaidia makundi ya Magaidi kwako wewe unaona ni sawa? Wewe unaonekana hujui kitu “Vita ni vita Mura” hakuna kuleta visingizio Uchwara hata iwe jiwe ni vita tu. Iran kapigwa vibaya mna kuja hapa na visingizio kedekede ili kujifariji na kujipa moyo kwa kipondo hicho!!
 
Echolima1 (Choo cha kulima), habari ya uzima mkuu.
Kwema makuu. Huku tunaendelea kula kiapo cha utii Kwa kipenzi chetu mwamba mkombozi wa waislamu Imam Hussain ibn Ali AS.

Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…