Garincha II
Senior Member
- Jul 21, 2023
- 185
- 213
Kwa hiyo unaamini kabisa Israel Ana msuli wa kumzuia Urusi? Kinachompa nguvu Israel ni support ya magharibi.. Usi wa overate hivyo Mkuu.Rusia huwa hawashauri Iran ?uwezo wa kijeshi wa Rudia na wehu na ubabe wote wa Putin huwezi ona anaichezea Israel, ingekuwa ni kawaida pale Syria, Lebanon Mrusi angekuwa ameshaweka S-300, S-400, lakini ametulia mpaka ndege za Israel zinaingia Beiruti, Tehran, Damascus na kushambulia.
Rais gani wa Iran kauawa na Israel!?..we kiazi kweli,siyo sera ya Iran kuua viongozi wa taifa jingine,halafu ni kiongozi gani wa Iran kauawa na Israel!?..
Hawana lolote, wangekuwa na maarifa hayo Haniyeh asingeuawa katika ardhi yao.Wanaukumbi.
"Kulipiza kisasi kwa damu ya Ismail Haniyeh ni jukumu letu kwa sababu mauaji yalitokea katika ardhi yetu" - Ayatollah Khamenei, Kiongozi Mkuu wa Iran.
Iran ilipandisha bendera nyekundu ya Kisasi kwenye jumba la msikiti wa Jamkaran.
View: https://x.com/iranobserver0/status/1818559913167049050?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
View: https://x.com/globeeyenews/status/1818604260600246730?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Wengine wapo kwenye sherehe,,,,,,,waaabudu magome ya miti tumeshaanza weekend ndefuHawana lolote, wangekuwa na maarifa hayo Haniyeh asingeuawa katika ardhi yao.
Hii ni fedheha kwa Iran, nipo katika majonzi.
Ona huyu anaongea nini.Rusia huwa hawashauri Iran ?uwezo wa kijeshi wa Rudia na wehu na ubabe wote wa Putin huwezi ona anaichezea Israel, ingekuwa ni kawaida pale Syria, Lebanon Mrusi angekuwa ameshaweka S-300, S-400, lakini ametulia mpaka ndege za Israel zinaingia Beiruti, Tehran, Damascus na kushambulia.
Nimesoma comment za watu humu ndani nimecheka sana.Wanaukumbi.
"Kulipiza kisasi kwa damu ya Ismail Haniyeh ni jukumu letu kwa sababu mauaji yalitokea katika ardhi yetu" - Ayatollah Khamenei, Kiongozi Mkuu wa Iran.
Iran ilipandisha bendera nyekundu ya Kisasi kwenye jumba la msikiti wa Jamkaran.
View: https://x.com/iranobserver0/status/1818559913167049050?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
View: https://x.com/globeeyenews/status/1818604260600246730?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Putin alishawahi kumgusa myahudi kwa kumsaidia Syria kudungua ndege za f-35 tatu 2021 za Israel.Yes. The guy(Putin) is clever. Analijua timbwili la Myahudi.
Wiki iliyopita Tel Aviv ilishambuliwa na Houthi kwa drone na Israel iron dome haikugundua mpaka drone inafanya kamikaze attack.Hawana lolote, wangekuwa na maarifa hayo Haniyeh asingeuawa katika ardhi yao.
Hii ni fedheha kwa Iran, nipo katika majonzi.
Ninakazia:
"Supporting Palestinians is a duty, whatever the sacrifices are."
Kauli thabiti kabisa kutoka kwa aina ya akina Mandela, Lissu na wa namna hiyo.
Usijidanganye.kiuhalisia, myahudi hicho ndicho alikuwa anakitafuta, kuingia vitani na iran na hicho ndicho alienda kuconfirm marekani juzi. kwasababu akisema asipigane na iran proxies wake wanamsumbua na anazidi kujiimarisha kuna siku angekuja kumfuta, sasa anaona si bora apigane sasaivi wamalizane mapema kuliku kuishi kwa mashaka. wameshamchora wameona namna ya kumpiga, ajichanganye aone.
Huyu watamchoma hizo ndevuWanaukumbi.
"Kulipiza kisasi kwa damu ya Ismail Haniyeh ni jukumu letu kwa sababu mauaji yalitokea katika ardhi yetu" - Ayatollah Khamenei, Kiongozi Mkuu wa Iran.
Iran ilipandisha bendera nyekundu ya Kisasi kwenye jumba la msikiti wa Jamkaran.
View: https://x.com/iranobserver0/status/1818559913167049050?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
View: https://x.com/globeeyenews/status/1818604260600246730?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Wote tunajua Jamaa amekufa, amekufaje Ndio hata Iran hawajui
Brazaj:
Ni aibu mkuu, amelipuliwa katika Guest House ya Jeshi, si mbali na nyumba ya Rais, na kombora limepiga katika floor yake tu! Hawakuwa na haja kabisa na Ziyad al-Nakhala, kiongozi wa Islamic Jihad, maana alikuwa amelala floor ya juu Haniyen, labda ndiye aliyemuuza! Huwawezi Waarabu kwa kufitiana.
Usisahau wanapopanga kisasi kuna Watu wa Mosad ndani yao! Kubali Mkuu hii ni inside job! Kuna Wairan wenzeo ni members wa Mosad!
Na kichekesho kikubwa, yule aliyekuwa Waziri wa Intelligence aliyondoka Esmael Khatib, kasema hata siku sita hazijapita alisema anajivunia katika kipindi chake akiwa bosi wa Wizara hiyo ya Intelligence aliweza kung'oa masalia yote ya Mosad! Kiko wapi! Aibu juu ya aibu! Pole sana Mkuu.
Mkuu, wanasahau hilo!......Ni aibu kiongozi kama huyu kuuawa katika nyumba ya Wageni maarufu ya Jeshi........Wanauponza huu msikiti