Iran imedhihirisha kuwa na Air defence bora

Huku main stream media CNN BBC tunalzimishwa kuaninishwa kuwa eti jamaa wamefanya kutu cha maana sana na kikubwa sana kuanzia mapicha feki
 
Punguza mahaba, Iran ilitoa taarifa na vyuma vilikuwa live from Iran mpaka vikatua Israel, unataka kusema Israel alipenda kupigwa Kambi zake na maeneo nyeti? Ili iweje?
Kambi ipi ya jeshi ilipigwa? Weka madhara yaliopatikana usilete mahaba uchwara
 
Punguza mahaba, Iran ilitoa taarifa na vyuma vilikuwa live from Iran mpaka vikatua Israel, unataka kusema Israel alipenda kupigwa Kambi zake na maeneo nyeti? Ili iweje?
hujaelewa jambo hili vizuri na wala hujanielewa vyema gentleman
 
Mashambulizi yote ya Iran yalipanguliwa na Israel, wewe weka video ya hayo madhara ili tukuamini
Hahahahahha jana ulijikoroga ukatuma mwenyewe
Mashambulizi yote ya Iran yalipanguliwa na Israel, wewe weka video ya hayo madhara ili tukuamini
Video mzigo ukishuka ushasahau
Tafuta post yako mwenyewe ujiutathmini
 
Hahahahahha jana ulijikoroga ukatuma mwenyewe
Video mzigo ukishuka ushasahau
Tafuta post yako mwenyewe ujiutathmini
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Ile video ilikuwa ya Iran ilivyoshambuliwa au unajitoa ufahamu mkuu, nyie wenyewe mnasema Israel ilipata hasara kubwa baada ya kambi zake kushambuliwa, tukiwaambia muonyeshe hizo hasara mnajizungusha
 
Ukiinama nchale ukiinuka nchale.

Ayatollah 15 & Benjamin letanyau 0.
Here we go...................................
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Ile video ilikuwa ya Iran ilivyoshambuliwa au unajitoa ufahamu mkuu, nyie wenyewe mnasema Israel ilipata hasara kubwa baada ya kambi zake kushambuliwa, tukiwaambia muonyeshe hizo hasara mnajizungusha
Sio mm najitoa ufahamu iweke hapa nikudhalilishe unadhan sii jui ile video mm
 
Muiran kashajua anawaweza wabaya wake ukitumia akili vizuli utaona vile vikao baina uko Israel na na USA ilikuwa vyakiuoga yani tumpige Iran kidogo asiwe asiwe na sababu ya kukuza mgogoro lkn wangeweza kufanya zaid tuamini ivi. Tatizo linakuja USA kawa kama kipofu uwezi zuiya mgogoro na Iran wkt Israel bado anauwa wqpestine kwa umati so Iran ingeweza kukausha lkn kwakua Israel anaendelea na vita na Iran atabki kivita vita kuona uwelekeo sasa katangaza wajeda4 wamekufa ili tu nawao wapeleke moto walipowajeda so ngoma ngumu USA nae anatapatapa uwezo ana wakuizuiya Iran yaya akafunge tu iyo THAAD mapema USA kwa propaganda anajua THAAD ipo tayali lkn viuma vikipita live!! utasikia sasa tumetuma THAAD ipo njian inaenda Israel ๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›๐Ÿ˜œ
 
Hii umesema kweli kabisa,na huko mbeleni tutaona vitu ambavyo hatujavitarajia
 
Stealth fighter jets haswa F-35 zimevinjari juu ya anga ya iran na kuteketeza malengo ladhaa maana rada haziwezi mulika Stealth fighters sasa we endelea kubisha picha za satellite ๐Ÿ›ฐ zimeshaanza kurandama kuonesha viwanda vya drones na missiles vilivyoteketezwa.
 
Hahahaahhaha marekani kweli imeuogope mu Iran ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท are you serious?!! Brother alafu wakipigwa mnaanza kulia waislamu wananyanyaswa? ๐Ÿ˜„ ๐Ÿคฃ ๐Ÿ˜‚
 
Punguza uongo na mahaba.
Hakuna ndege hata moja iliyoingia anga la Iran.
Tupo na tunafuatilia habari hadi sasa.
 
Iran sio mwarabu.
Ndio sio waarabu na kutokuwa waarabu kunaipa Iran ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท unafuu gani?
Haniya aliuliwa ndani ya Iran na sio Qatar ๐Ÿ‡ถ๐Ÿ‡ฆ alikokuwa anaishi miaka yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ