mkuu labda hujaelewa,hakuna timu isiyofungwa,au golikipa asiyefungika,lakini kuna mwenye uafadhali kuwazidi wengine,kumbuka hayo yote yametengenezwa na wanadamu,madhaifu ni lazima yawepo.hakuna jambo lililo 100%.
Aisee Russia ametoa msaada wa silaha tu ila Iran katoa mpaka jeshi.
Qassem Soleiman akiwa kamanda mkuu pale Syria askari wa Iran walipigana.
Hivyo ukitizama Iran ina mchango mkubwa kuliko Russia.