Iran imerudi enzi za Ujima: Hawana Air-Force hawana Navy na hawana Mifumo ya ulinzi wa anga

Kwa hio unataka kusemaje Fundi Mchundo Iran watashinda vita wana huo ubavu?
Vita kubwa watashinda hata kama itawachukua miaka 50. Hii ya sasa Marekani na Israel watajitangaza washindi. Bush alijitangaza mshindi wa vita ya Iraq lakini matokeo yake ikaibuka ISIS. Hivyo hivyo Gaza ns Lebanon. Baada ya mabomu yote ya Israel Hezbollah na Hamas bado wapo. Afghanistan hivyo hivyo. Iliwachuwa miaka zaidi ya 20 lakini Taliban wameichukua tena nchi yao. Trump atajitangaza mshindi, ataweka kibaraka wake lakini iko siku ataondoka tu. Hii sio mara ya kwanza kutokea Iran. Marekani walimuweka Shah kwa nguvu lakini mazao yake ni hawa ma Ayatollah. Vita sio reality TV au video game. Historia imetufundisha hilo.

Amandla...
 
Hawana Jeshi la Wanamaji. Hawana Jeshi la Anga. Hawana trafiki ya kupambana na anga, chochote kile. Hawana mifumo ya udhibiti.
Sasa wanawezaje kuendelea kushambulia targets bila mifumo ya anga? Yaani urushe bomu la masafa marefu bila coordination za mawasiliano? Hizo drones zinakua operated kutokea wapi maana kama wanatawala kila kitu wangeshalipua missioe launchers zote!!

Embu tusaidie majibu
 
Sio kweli, hao Russia na China ni theoretical tu ila tumeshuhudia physically kabisa Nchi zaidi ya 10 zikichangia kumtandika Iran.

Unadhani Israel angekua anachangiwa na mataifa 10 angetoboa? Tena NATO?

Imagine UK, US, France, Turkey, Romania, Germany, Saudia, Jordan, Qatar etc yaani almost 13 nations are directly battering Iran and intercepting its rockets!!

Iran is resilient sio kidogo, Israel ingeshacollapse.
 
Nyuma ya Iran kuna wengi zaidi ya hao wanaompiga ndio ipo hivyo hayupo peke yake elewa kitu hapo ni pande mbili zenye muunganiko wa watu sasa wewe unaonyeshwa kiini macho sababu anazungumziwa Iran tu ukajua Iran anapigana peke yake, ingekua hivyo asubuhi sana vita imeisha
 
Sorry Bro. Can you mention them?
 
Marekani ndiyo zao wakishibdwa vita, watakuja na propaganda za ajabu sana.

Ila tuwe wakweli Marekani hawezi kufanya regime change hapo.. it's very difficult ni kama ndoto but will never happen
 
Leta ushahidi maana madai yangu yana ushahidi wa open source kabisa sio conspiracy!!

Iran haisaidiwi na nchi yeyote. Walau ungesema Hezbollah, Hamas, PMZ na Houthi ambao basically ni vikundi vya wapiganaji sio majeshi kabisa yenye structure ya kueleweka au kuwa na uwezo hata wa kutoa ndege au silaha!!

China na Russia ni intelligence tu sio active war. Kuhusu kupigwa kwa siku moja hilo sahau, Iran inajitosheleza na nature tu ya milima yake hata upige mabomu kila siku hautowahi maliza silaha zote au mahandaki ya milimani!!

Na hata ikivamiwa, ina wakazi 100 Million na ina majeshi matatu IAF, IRGC na Basij militia hapo bado hawajaleta askari wa PMZ au Houthi kuongeza nguvu!!
 
Marekani ndiyo zao wakishibdwa vita, watakuja na propaganda za ajabu sana.

Ila tuwe wakweli Marekani hawezi kufanya regime change hapo.. it's very difficult ni kama ndoto but will never happen
Hatari nyingine ni asymmetrical warfare. Sio hii ya missiles, drones, submarines, ndege n.k. Tumeona majaribio ya kushambulia balozi. Tunaweza kuona watu wakijilipua, wakishambulia mikusanyiko ya watu, biashara n.k. Iran ina sympathizers kila mahali. Ingawa utawala wa ma Ayatollah ulikuwa wa kinyama lakini ulikubalika na raia wengi. Watatusumbua sana hata ambao hatuhusiki.

Amandla...
 
Wanamgambo wenzako wanakimbia kifiro
 

Attachments

  • Screenshot_20260309-105752.png.jpg
    84 KB · Views: 10
Jamaa wameleta competition kweli.. na hapa Iran hawezi kuacha kutumia hii mbinu asymmetric warfare... mara nyingi lengo lake ni kufanya vita iwe ndefu, ghali, na yenye presha kubwa kwa adui.

Na tulisha ona impact yake kwa world economic.
 
Hilo bumunda nililipa hii taarifa likaipinga seems ana matatizo ya Akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…