Unajitahidi sana kulialia ili tu kupata Sympathy lakini ukweli utabaki palepale kuwa Iran lazima apigwe No Matter what!!!! Iwe ni mtu mmoja au anapigwa na watu 20 miradi tu amepigwa inatosha sana!!!David ni Israel kivipi wakati ana back up ya nchi 10, yeye ndio goliath!! Hivi tuwe wakweli tu Israel ikishambuliwa na nchi 10 yaani imagine Iran ingekua ina back up ya Russia, China, North Korea na ile GCC nzima tungekua tunaongea nini leo?? Ingeweza survive hata siku 3 kweli kanchi size ya posta na kariakoo?
Acheni utani
Direct hit mara nyingi ni kwenye open space madhara unayoyaona ni vipande na Mapipa yanayodondoka baada ya kipopolewa!!!Zinafika popote si ndio? Haya wakalinde strait of Hormuz!! Wanachoogopa nini na wakati Iran imeshajifia kabisa?
Ndio IDF ipo kazini kuintercept missiles ambazo zinapenya kila siku licha ya kudanganya eti iron dome sijui David sling haipitishi bomu. Nashukuru tokea hii vita ianze ile propaganda ilikufa rasmi.
Uache ujinga Una niwekea documentary wakati Mimi niko huku huku, East Jerusalem wengi huko ni waislamu na ndiyo wana chuki sana na wasio waislamu.
Hizo documentary ni za propaganda za Chuki dhidi ya Wayahudi kuwaonyesha wayahudi ni wabaya wakati sivyo kabisa!!!
wayahudi wenyewe wanaandamana kumuunga mkono Irani wewe mmatumbi wa gongo la mboto unaleta mambo ya masaliaUnajitahidi sana kulialia ili tu kupata Sympathy lakini ukweli utabaki palepale kuwa Iran lazima apigwe No Matter what!!!! Iwe ni mtu mmoja au anapigwa na watu 20 miradi tu amepigwa inatosha sana!!!
Direct hit mara nyingi ni kwenye open space madhara unayoyaona ni vipande na Mapipa yanayodondoka baada ya kipopolewa!!!
Hata yakidondoka hakuna madhara makubwa yatakayo tokea kwa binadamu
Dogo usitupangie cha kuchangia. Kama ni njaa zako peleka huko.Hii mijadala ya kisengge kweli vita imekuwa kama ushabiki wa mpira. Uhai wa mwanadamu thamani yake haipimiki.
Mambo yetu ya ndani hapa TZ maji yako shingoni ccm wanatupiga mbele nyuma, bado mnahangaika kushabikia mauaji huko uajemi
wayahudi wenyewe wanaandamana kumuunga mkono Irani wewe mmatumbi wa gongo la mboto unaleta mambo ya masalia
View: https://youtu.be/4xMnThv94kI?t=7
Direct hit mara nyingi ni kwenye open space madhara unayoyaona ni vipande na Mapipa yanayodondoka baada ya kipopolewa!!!
Hata yakidondoka hakuna madhara makubwa yatakayo tokea kwa binadamu
Fala wewe mimi ni baba yakoDogo usitupangie cha kuchangia. Kama ni njaa zako peleka huko.
Sauh'waa?
Usikimbie shoga limepelekwa kupata mabasha mia , Kuna uongo gani hapoNi mwezi mtukufu lakini watu Waongo waongo kupita kiasi.
Hapa mada ni nyingine wewe umerukia mada nyingine kuonyesha ni jinsi gani ulivyo mjinga!!
Usikimbie shoga limepelekwa kupata mabasha mia , Kuna uongo gani hapo
Huyu Echolima1 ni muongo kama Shetanyahu aliwambia wananchi wake kwenye ile vita ya June Iran tumemrudisha nyuma miaka 20 hawezi kumiliki Nuclear na hi vita anawambia Iran ilibaki weeks kama tatu amiliki Nuclear na huyu msafisha vyoo yeye alidai yahya sarei msemaji wa Al Houth aneuliwa na Israel sa wote ni waongo.
Yahya Sarei huyu anaongelea kuhusu vita vya Iran na USA pamoja na Israel kwenye interview ya moja katika channel za TV
View: https://youtube.com/shorts/eMrmPGPYSxM?si=HMd-np1s_ATbQmCF