BLACK_ JF-Expert Member Joined Apr 2, 2020 Posts 1,885 Reaction score 4,193 Jun 24, 2025 #241 Najaf said: Ndo umeandika nini?? Yaani siku hizi JF kumejaa waandika pumba tu. Click to expand... Mbona kaandika kila kitu kinaeleweka wapi tusaidie kusoma, kaka mukubwa
Najaf said: Ndo umeandika nini?? Yaani siku hizi JF kumejaa waandika pumba tu. Click to expand... Mbona kaandika kila kitu kinaeleweka wapi tusaidie kusoma, kaka mukubwa
Z zebri JF-Expert Member Joined Nov 9, 2021 Posts 1,110 Reaction score 3,368 Jun 24, 2025 #242 Imagine kama Iran ndio ingekuwa imepakana na Israel hali ingekuwaje. Hapo missiles zinapita nchi ya Iraq na Jordan
Imagine kama Iran ndio ingekuwa imepakana na Israel hali ingekuwaje. Hapo missiles zinapita nchi ya Iraq na Jordan