green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Jamaa ni mjinga na hataki kuondoa ujingaNa wewe unaamini huo upumbavu?
Masaa 48 kwani bado?
Mbona unaropoka sana bro??Acha ushabiki na badala yake jielimishe na kufatilia mambo. Kuna watu mnaandika vitu vinaonesha hasa uwezo wenu mdogo wa kufikiri na kuchambua mambo. Hao wakipigwa mtaanza kuja kulalamika.
Dont be stupid hakuna nchi ya Middle East inaweza hata nusu kufikiria kupigana na Israel. Hiyo Iran kila siku anauawa majenerali wake Iran kwenyewe, Iraq, Syria na Lebanon na wamefanya nini? Aliuawa their top General na wa kutegemewa Qassem Solemani wakaishia kutishia tu na sasa hivi wako kimya.
Unatia aibu halafu umeweka nembo ya Taifa.
Unakaa na kushikilia historia!?Wazari Mkuu wa Dola ya Umedi na Uajemi (Iran) Hamani bin Hamedatha, Mwagagi alishindwa kuwaangamiza Wayahudi miaka mingi iliyopita kabla ya Mfalme wa Wafalme hajazaliwa. Silah Ile ile aliyoiandaa Waziri Mkuu wao ili kumtundika Mordekai (Israel)badala yake wakamtumdika yeye Mwenyewe Waziri Mkuu .
Kabla hajateka Yerusalem atatekwa mwenyewe na kuondolewa kwenye Utawala
Mnaua raia badala ya washika silaha kesha mnajisifu?!wengine waliwavamia usiku wa mane wakateka watu, kipigo kilichofuata tukasema mauaji ya kimbali, mwajemi anatafuta huruma ya Dunia.
๐จ๐จ๐จ๐จ๐จ๐จ๐จ๐จ๐จ๐จJeshi la Iran limesema kipaumbele cha kwanza wakati likitoa mkong'oto kwa Israel ni kuteka mji wa Jerusalem kutoka kwa Magaidi ya kiyahudi (LGBT)
๐ฎ๐ท Iran says liberating Jerusalem is our first issue in the Islamic Republic.
Mimi ni kibishana na wewe tunasumbuana bure mwajemi ajaribu ndiyo litathibitika hilo la lunch jerusalemu.Mnaua raia badala ya washika silaha kesha mnajisifu?!
Unadhani muajemi ni muarabu??
Embu kafuatilie historia ya Iran toka ifanye mapinduzi 1979 ndio urudi hapa.
Huyo Iran unaemsemea silaha zake ndio game changer kule Russia dhidi ya NATO na Ukraine.
kwani hao waliotekwa na hamasi ni wanajeshi? raia tena wako uchi baada ya shughuri ya ndoa.Mnaua raia badala ya washika silaha kesha mnajisifu?!
Unadhani muajemi ni muarabu??
Embu kafuatilie historia ya Iran toka ifanye mapinduzi 1979 ndio urudi hapa.
Huyo Iran unaemsemea silaha zake ndio game changer kule Russia dhidi ya NATO na Ukraine.
Onhooo!?kwani hao waliotekwa na hamasi ni wanajeshi? raia tena wako uchi baada ya shughuri ya ndoa.
Aya kaa kwa utuo.Mimi ni kibishana na wewe tunasumbuana bure mwajemi ajaribu ndiyo litathibitika hilo la lunch jerusalemu.