Iran imesema Kipaumbele cha kwanza ni kuiteka Jerusalem

🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨Jeshi la Iran limesema kipaumbele cha kwanza wakati likitoa mkong'oto kwa Israel ni kuteka mji wa Jerusalem kutoka kwa Magaidi ya kiyahudi (LGBT)

🇮🇷 Iran says liberating Jerusalem is our first issue in the Islamic Republic.

View attachment 2954346
Nyinyi waabudu wa Allah, the Satan jichanganyeni tu mukione na kuisoma namba
 
Iran wanatakiwa kupotezea tuu, ama sivyo NATO itahamia nchini kwao. Israel ikisimama na Iran mtu mbili Israel haitoboi ila uingereza na marekani lazima waingie mzigoni na sioni taifa lolote la kuisaidia Iran zaidi ya wahuth na hezbullah
Ambacho watu hawasemi ni kuwa Israeli ana super nuclear, hata mataifa ya Kiarabu wakiungana bado hawawezi kumwondoa Myahudi pale. Vita ikiwa ngumu Israeli atarusha vibuyu vya moto waarabu wachomeke vizuri.
 
🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨Jeshi la Iran limesema kipaumbele cha kwanza wakati likitoa mkong'oto kwa Israel ni kuteka mji wa Jerusalem kutoka kwa Magaidi ya kiyahudi (LGBT)

🇮🇷 Iran says liberating Jerusalem is our first issue in the Islamic Republic.

View attachment 2954346
Wamekudanganya, hawatathubutu, wakijaribu kufanya hivyo wamenasa kwenye mtego waliotegewa kwa miaka mingi.
 
🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨Jeshi la Iran limesema kipaumbele cha kwanza wakati likitoa mkong'oto kwa Israel ni kuteka mji wa Jerusalem kutoka kwa Magaidi ya kiyahudi (LGBT)

🇮🇷 Iran says liberating Jerusalem is our first issue in the Islamic Republic.

View attachment 2954346
Nia wanayo na wanaweza.
Iran ni nchi inayojiamini sana kati ya nchi zote za kiislamu.Wameshawaendesha mchaka mchaka Marekani mara nyingi tu.
 
Mchina aliishia kupiga bahari nashauri watafute sehemu ya jangwa walipizie kisasi
 
Iran wanatakiwa kupotezea tuu, ama sivyo NATO itahamia nchini kwao. Israel ikisimama na Iran mtu mbili Israel haitoboi ila uingereza na marekani lazima waingie mzigoni na sioni taifa lolote la kuisaidia Iran zaidi ya wahuth na hezbullah
Wakati huo Mrusi na China watakua sayari ya Mars au
 
Yaani
Nimepigiwa simu kutoka Tel aviv tena leo raia wamenunua vyakula vyote kwenye supermarkets na magenereta wamejichimbia kwenye mahandaki. Hii siyo sawa huyo Iran kama anapiga apige amalize huku ni kujambishana pasipo na sababu ya msingi.
Bro ni hatari Netanyahu kawapomza Magaidi wenzake nimeona wanalalamika kua hawakutarajia kama wangemchokoza Iran.magaidi wa kiyahudi wamelamba misosi yote wamekimbilia kwenye mapango
 
Attachments

  • IMG_20240404_220841.jpg
    IMG_20240404_220841.jpg
    206.7 KB · Views: 2
Hapo mashariki ya kati Israel ameikojolea karibu kila nchi Iran makamanda wake na wataalamu wa mambo ya nyuklia wameuwawa tena wengine hapo teeran
Iran amebaki anabweka tu kama mbwa koko.
Israel keshakojolewa sana na Iran kupitia Proxy wake.
Hamas kamkojolea Israel,Hizbollah kamkojolea Israel.
Utasemaje Iran anabweka bweka??
Waliouliwa Tehran ni wanasayansi kwa kutumia gunmen,hiko kitendo hata kusini mwa Israel Hamas washakifanya sana wala sio ajabu.
Kuwaandaa tu gunmen wafanye tukio si kitu cha ajabu.
Vipi Israel wameweza kuwatokomeza Hizbollah walioweza kuteketeza kambi za kaskazini mwa Israel!?
 
Ni upuuzi mtupu, labda USA na washirika wake wasinzie ndio iran ataweza kufanikisha huo mpango wake. Hebu kwanza atulizwe, ashike adabu zake kwa kupewa mkong'oto
 
Kuwa mwarabu au muajemi kunasaidia kuipiga Israel. Jielimishe wewe, masaa 48 yashapita hawajawasha iyo mizinga yao tuone watoto wa Yakobo wakiwaka moto. Wa Israel 🇮🇱 ni watu wa mipango sio waoga waoga wewe
Kaa kwa kutulia.
Iwe masaa 48 ama 72 Iran hawakuwahi kuacha kulipiza kisasi.
Ilipize kisasi Hizbollah kwa Israel kwa kuuliwa kwa kamanda wao sembuse Iran?
Kaa kwa utuo muda utaongea.
Muajemi sio mwaarabu,fuatilia asili ya uajemi toka inaitwa ANATOLIA mpaka sasa utaelewa kwanini hawa watu wana utofauti.
 
🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨Jeshi la Iran limesema kipaumbele cha kwanza wakati likitoa mkong'oto kwa Israel ni kuteka mji wa Jerusalem kutoka kwa Magaidi ya kiyahudi (LGBT)

🇮🇷 Iran says liberating Jerusalem is our first issue in the Islamic Republic.

View attachment 2954346
Kobazi pekee alikuwa hajaingia kwenye 18 ni iran sasa anaanza kujaa mwenyewe😂😂😅
 
Yaani

Bro ni hatari Netanyahu kawapomza Magaidi wenzake nimeona wanalalamika kua hawakutarajia kama wangemchokoza Iran.magaidi wa kiyahudi wamelamba misosi yote wamekimbilia kwenye mapango
images (9).jpeg
 
Israel keshakojolewa sana na Iran kupitia Proxy wake.
Hamas kamkojolea Israel,Hizbollah kamkojolea Israel.
Utasemaje Iran anabweka bweka??
Waliouliwa Tehran ni wanasayansi kwa kutumia gunmen,hiko kitendo hata kusini mwa Israel Hamas washakifanya sana wala sio ajabu.
Kuwaandaa tu gunmen wafanye tukio si kitu cha ajabu.
Vipi Israel wameweza kuwatokomeza Hizbollah walioweza kuteketeza kambi za kaskazini mwa Israel!?
.trashed-1714501133-images (6) (1).jpeg
 
Back
Top Bottom