Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ushabiki na badala yake jielimishe na kufatilia mambo. Kuna watu mnaandika vitu vinaonesha hasa uwezo wenu mdogo wa kufikiri na kuchambua mambo. Hao wakipigwa mtaanza kuja kulalamika.
Dont be stupid hakuna nchi ya Middle East inaweza hata nusu kufikiria kupigana na Israel. Hiyo Iran kila siku anauawa majenerali wake Iran kwenyewe, Iraq, Syria na Lebanon na wamefanya nini? Aliuawa their top General na wa kutegemewa Qassem Solemani wakaishia kutishia tu na sasa hivi wako kimya.
Unatia aibu halafu umeweka nembo ya Taifa.
Kimya kingi kina kishindo. Usimdharau usiyemzaa. Israel bila msaada wa Marekani na washirika wake ni mwepesi sana.
Jambo usilolijua ni historia ndefu ya mashariki ya kati hususan waajemi. Hawa jamaa kihistoria hata wakiishiwa bunduki hupigana kwa kutumia mawe na mapanga. Ukitaka kujua kamuulize marehemu Sadam alipoivamia Iran alikutana na nini
Ya zamani hayo mbona UK waliongoza karibu dunia nzima hadi wamarekani, leo wako wapi? unazungumzia ya kaleMwajemi hajawahi kutishwa wala kuoigwa na Myahudi tangu enzi za kabla na baada ya Daudi. Isipokuwa Wayahudi ndo wana historia ya kuvunjiwa miji yao na Muajemi na kutumikishwa Utumwani na Muajemi. Rejea historia ya enzi za Ufamle wa UMEDI na UAJEMI na Babeli.
Si uzungumze home achana na midoli. Huu uchawa wako dhidi ya Israel hauna tofauti na wa CCM