Mbona unaropoka sana bro??
Retaliation ya Qassem Soleiman ilikua kulipua kambi ya US iraq na ilifanikiwa.
Kuuliwa kwa majenerali kisasi kimelipizwa kupitia hizbollah.
Unajua Hizbollah amepafanya North Israel hapakaliki??
Unajua kama kambi kubwa North Israel mbili ikiwemo Galilee zimeteketezwa??
Iran hulipiza kisasi kupitia proxy wake Hizbollah na Houthi.
Usijitoe akili,USA yenyewe imeshindwa kuiteketeza Iran sembuse Israel??
Israel kila leo hujificha nyuma ya USA ili kujilinda na Iran.Na kama vita ikitokea ataepigana na Iran ni NATO na USA sio Israel.
Hamas tu mwezi wa 6 wamemshindwa ataweza kupigana na Iran???
Amalizane na Hamas na Hizbollah kwanza,Iran ni mfupa mgumu,Iran sio muarabu ni muajemi kaa ulielewe hilo.