Iran imesema Kipaumbele cha kwanza ni kuiteka Jerusalem

wengine waliwavamia usiku wa mane wakateka watu, kipigo kilichofuata tukasema mauaji ya kimbali, mwajemi anatafuta huruma ya Dunia.
Mwajemi hajawahi kutishwa wala kuoigwa na Myahudi tangu enzi za kabla na baada ya Daudi. Isipokuwa Wayahudi ndo wana historia ya kuvunjiwa miji yao na Muajemi na kutumikishwa Utumwani na Muajemi. Rejea historia ya enzi za Ufamle wa UMEDI na UAJEMI na Babeli.
 
Mnaua raia badala ya washika silaha kesha mnajisifu?!
Unadhani muajemi ni muarabu??
Embu kafuatilie historia ya Iran toka ifanye mapinduzi 1979 ndio urudi hapa.
Huyo Iran unaemsemea silaha zake ndio game changer kule Russia dhidi ya NATO na Ukraine.
Hao unaowaita ni raia, sio kweli wanajeshi wanavaa kiraia huku wakiwa wameficha silaha jirani jeshi la israel likipita, wanatandikwa na hao waliowadhani ni raia. Mwizrael baada ya kugundua hivyo, ili bidi atandike wote tuu. Halafu hao hamas wanachukua zile picha na kutangaza eti israel kaua raia. Na hii mbinu ya kivita wanaitumia hao watu saana. Wanashambulia, halafu wanaenda kujificha kwa wamama na watoto.
 
Pasi na makosa kivip wakati ni vitoto vya magaidi unadhani vikikua havitakua hamasi ivo?
 
Kuwa mwarabu au muajemi kunasaidia kuipiga Israel. Jielimishe wewe, masaa 48 yashapita hawajawasha iyo mizinga yao tuone watoto wa Yakobo wakiwaka moto. Wa Israel 🇮🇱 ni watu wa mipango sio waoga waoga wewe
 
Hivi waziri mkuu wa Iran sasa hivi nani mana kapoa vibaya mno,
Nakumbuka miaka ya nyuma kidogo hapa kuna chuma kimoja kilikua kinaitwa Mahmaoud Nejad mwamba alikua kiburi na misimamo balaa sijui yupo wapi yule
 
Wakati uke general Qassem ameuwawa walijiapiza kulipa kisasi kwa nguvu ila hatukuona chochote hawa jamaa ni mikwara na maneno tu hawawezi ishambulia Israel..
 
Hamna kitu hapo, hakuna muislam wa kumshinda mkristo na haitakaa itokee, waislam ni wake za wakristo wataburuzwa kama wanavoburuzwa hao wa hamas
 
Wape elimu Wayahudi wa Wakibada ili waache kukaza fuvu
 
Maneno matupu kila siku bila vitendo! Waende huko.
 
Hivi waziri mkuu wa Iran sasa hivi nani mana kapoa vibaya mno,
Nakumbuka miaka ya nyuma kidogo hapa kuna chuma kimoja kilikua kinaitwa Mahmaoud Nejad mwamba alikua kiburi na misimamo balaa sijui yupo wapi yule
Mahmoud Ahmadinejad alikuwa Rais wa Iran, ndio kawasababishia vikwazo vingi. Rais wa sasa ni Ibrahim Raisi ambaye ni mpole na kasaidia kupunguza vikwazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…