Iran imesema Kipaumbele cha kwanza ni kuiteka Jerusalem

Kwahiyo wanataka kwenda kinyume na mpango wa Mungu wao...
 
Iran wanatakiwa kupotezea tuu, ama sivyo NATO itahamia nchini kwao. Israel ikisimama na Iran mtu mbili Israel haitoboi ila uingereza na marekani lazima waingie mzigoni na sioni taifa lolote la kuisaidia Iran zaidi ya wahuth na hezbullah
 
Hamna kitu hapo, hakuna muislam wa kumshinda mkristo na haitakaa itokee, waislam ni wake za wakristo wataburuzwa kama wanavoburuzwa hao wa hamas
Nani kakuambia wayahudi ni wakristo, wayahudi wanawachukia wakristo kuliko hata unavyofikiria.
Kumbe wengi wenu ni weupe kichwani.

Israel hapo muslims ni wengi kuliko christians.

Nilikua nakupa elimu tu mi mwenyewe mkristo.
 
Iran wanatakiwa kupotezea tuu, ama sivyo NATO itahamia nchini kwao. Israel ikisimama na Iran mtu mbili Israel haitoboi ila uingereza na marekani lazima waingie mzigoni na sioni taifa lolote la kuisaidia Iran zaidi ya wahuth na hezbullah
North Korea, China na Russia naona zitakuwa upande wa Iran.
 
Iran ni mbwa koko tu.

Waarabu wote huko mashariki ya kati ni mafisi.

Hakuna kati yao anayeweza kuzichapa na Israel.

Majenerali wao washauliwa na hamna la maana watakalolifanya dhidi ya Israel.

Myahudi mweusi kutoka Tarime akichomwa sindano ya kutuliza msongo wa mawazo na kuondoa hofu baada ya taarifa kwamba Iran itamshambulia Israel.

Picha na Mwandishi wa habari Ikulu.
 
Kwanza lipeni kulipuliwa kwa ubalozi wenu
 
Reactions: 511
North Korea, China na Russia naona zitakuwa upande wa Iran.
North Korea na Russia sawa
China usimtegemee maana anapambana kuwa na uchumi mkubwa amzidi marekani. Kuingia vitani kusaidia itakuwa last option.
 
North Korea na Russia sawa
China usimtegemee maana anapambana kuwa na uchumi mkubwa amzidi marekani. Kuingia vitani kusaidia itakuwa last option.
Itafanya vyovyote kuidhoofisha US lakini si kuingia vitani direct, inaweza kutoa misaada ya fedha na silaha. Kwa hio China lazima atakuwa opposite na US.

China yenyewe inatamani Taiwan iwe chini yake, yawezekana ikawa fursa kwake.
 
Sio lazima atakuwa opposite na US. Siku zote yuko opp
 
Hapo mashariki ya kati Israel ameikojolea karibu kila nchi Iran makamanda wake na wataalamu wa mambo ya nyuklia wameuwawa tena wengine hapo teeran
Iran amebaki anabweka tu kama mbwa koko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…