Iran imesema Kipaumbele cha kwanza ni kuiteka Jerusalem

Nyie hamjui kuna Ostazi leo alikuwa anachambua silaha nzito za kisiri alizonazo Irani unnambiwa hata Marekani hawazijui, wakiamua wanaifuta Israeli kwenye uso wa dunia
 
Kimya kingi kina kishindo. Usimdharau usiyemzaa. Israel bila msaada wa Marekani na washirika wake ni mwepesi sana.

Jambo usilolijua ni historia ndefu ya mashariki ya kati hususan waajemi. Hawa jamaa kihistoria hata wakiishiwa bunduki hupigana kwa kutumia mawe na mapanga. Ukitaka kujua kamuulize marehemu Sadam alipoivamia Iran alikutana na nini
 
 
Ya zamani hayo mbona UK waliongoza karibu dunia nzima hadi wamarekani, leo wako wapi? unazungumzia ya kale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…