Iran imetoa orodha ya Magaidi wanaotakiwa kukatwa vichwa

Hapo Iran ndio kajitia d()le na kunusa asingetoa hiyo list akapiga kimnya kimnya kitendo hicho Israel nae akitoa list yake akianza na babu kilemba huwa achelewi kufanya kweli Iran ipo kwenye mihemko kwa sasa isipoangalia ataliwa mtu kichwa kati kati ya Tehran tena
 
Kama UN wameshindwa kuwakamata hakuna wa kuwagusa hao viongozi,
Embu uwe unafikiria nje ya boksi kidogo.

Wenzako hawazungumzii kuwakamata bali kuwafanyia ASSASSINATION.

Na hilo wakipanga mipango wanaweza.

Unajua kuna waislam waarabu wangapi ndani ya Israel kama raia wa Israel?

Je wakiamua kutumika kama walivyotumika Oktoba 7?

Hivi unajua wale Hamas waliovamia ndani ya South Israel walikua raia wa Israel miongoni mwao asilia ya kiarabu!?

Embu funua fuvu kidogo brothee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…