Iran imetoa orodha ya Magaidi wanaotakiwa kukatwa vichwa

hii document imetolewa lini na wapi?
 
Aisee
⚡️BREAKING:
Wizara ya Ujasusi ya Iran imetoa orodha ya magaidi wa Israel wanaotakiwa wakiwa maiti.

Just like Israel, now Iran's Intelligence Ministry releases a list of individuals it want to eliminate.

View attachment 3113347
Kweli Iran anazidi kujichanganya
Ana mihemko ya hatari

Mwambie mwenzake akishaanza kupunguza list ndo anatangaza

Sasa yeye haja Eliminate hata mmoja anajitangaza duh
Ok last kick of die horse Ayatollah
 
mbwa hawa wakifinywa na marekani na vikwazooo nyokooozaooo wakarudii kuombaa poo wajingasana
 
Israel wamekuwa wakiish kwenye vita since 1980s, kuzungukwa na maadui kumewafanya wajue namna ya kuishi, hili si jipya

Sisemi ni the best but si jipya
Mkuu historia inaonyesha
Israel imeanza kupigana tangu kuanzishwa kwake miaka zaidi ya 6000 ilipotoka Misri kwa Farao firauni
Hio nchi wameipata kwa vita tu
 
Inasikitisha. Kuna wayahudi wa Uyole na Waajemi wa Nanjirinjiri. Wamegawanyika katika ushabiki wa nani anauawa au nani anashinda vita?

Inasikitisha
Mkuu si umeona namna watu wanavyovutana humu kuhusu hili?

Ndo maana hata haki zao wanaziwekea ushabiki wa makundi pia
 
⚡️BREAKING:
Wizara ya Ujasusi ya Iran imetoa orodha ya magaidi wa Israel wanaotakiwa wakiwa maiti.

Just like Israel, now Iran's Intelligence Ministry releases a list of individuals it want to eliminate.

View attachment 3113347
Rais wa Iran aliyehamuru mashambulizi ya April 2024 Israel ilimla kichwa! Na huyu aliyepo hatachukua round!
 
Mimi ni sunni ila kwa ukorofi wa ben na genge lake acha apigwe tu huyu Israel 🇮🇱
 
Hivi mpaka sasa ni idadi ngapi ya watu waliokufa kutokana na yale makombora 200+ waliyorusha jana?
Target ilikua kambi za jeshi.
Uliza kambi ngapi zimepigika Iran sio magaidi kama Israel yeye anapiga kambi na viwanja vya f35.
Ndege aina ya f 35 zilizo pigika 20 na makao makuu ya mosad imepigwa
Hiyo ndio ilikua target sio kuua raia wasio kua na hatia ndio maana hata UN hujasikia kulalamika maana ile ilikua true operations two.
sasa kete kaachiwa yeye apige raia aone nini kitamkuta au umesahau Trump alivyo muua kamanda Suleiman alisemaje alafu Iran ikajibu mapigo hadi leo Marekani kaufyata.
Baada ya kipigo last born wa west alijua UN wataitisha kikao kumbe wameshamchoka kwa sababu yeye anajiona yupo juu ya sheria wakaona bora aachwe apigwe kwanza ili ajifunze kuwa na adabu.
Hasira zake kamaliza kwa kumpiga burn katibu mkuu asikanyage Israel lini alisema anataka kwenda Israel?
IRAN kasema Israel ajaribu kurusha hata jiwe tu ndani ya ardhi ya Iran majibu yake yatakua mara 1000 nadhani unamjua vizuri akiongea huwa hatanii.
 
Shehe Assalam Aleikum,
Umekula leo?
 
Nasema, nitasema na nilisema kuwa ili uwe mfuasi wa mudi lazima nati kichwani zilegee .
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu historia inaonyesha
Israel imeanza kupigana tangu kuanzishwa kwake miaka zaidi ya 6000 ilipotoka Misri kwa Farao firauni
Hio nchi wameipata kwa vita tu
Hivyo ni vya bibilia. Nasemea in modern days. Is why nchi nyingi ikiwemo yetu huwa inapelekea commando kupata mafunzo sababu ya uzoefu walionao hao jamaa.
 
Back
Top Bottom