Iran imetoa orodha ya Magaidi wanaotakiwa kukatwa vichwa

Iran imetoa orodha ya Magaidi wanaotakiwa kukatwa vichwa

Embu uwe unafikiria nje ya boksi kidogo.
Wenzako hawazungumzii kuwakamata bali kuwafanyia ASSASSINATION.
Na hilo wakipanga mipango wanaweza.
Unajua kuna waislam waarabu wangapi ndani ya Israel kama raia wa Israel!?
Je wakiamua kutumika kama walivyotumika Oktoba 7??
Hivi unajua wale Hamas waliovamia ndani ya South Israel walikua raia wa Israel miongoni mwao asilia ya kiarabu!?
Embu funua fuvu kidogo brothee.
Kaka unajitahidi kuelimisha sawa, lakini nakuhakikishia hivo vikao kama ingekuwa ni wazungu ningeamini, ila kwa waarabu au hao waajemi hapo usitarajie chochote mkuu, ila ngoja tuone, mawazo ya mtu hayapingwi
 
Iran kimsingi hapo katangaza vita kisaikolojia , kumbe waajemi wana akili sana , kukwepa allies kustuka mapema wameona watangaze vita kiujanja,
 
⚡️BREAKING:
Wizara ya Ujasusi ya Iran imetoa orodha ya magaidi wa Israel wanaotakiwa wakiwa maiti.

Just like Israel, now Iran's Intelligence Ministry releases a list of individuals it want to eliminate.
Hahahahahhaah nimecheka sanaaaa

Siwalisema Donald Trump ni gaidi na watamuua miaka mingi sanaa

Nini kinetokea hadi leo

Hizo ni ndoto za bunuasii

Kwa Wakojani wotee na wavaa magaunii
 
Israel wamekuwa wakiish kwenye vita since 1980s, kuzungukwa na maadui kumewafanya wajue namna ya kuishi, hili si jipya

Sisemi ni the best but si jipya
Zama hubadilika tena sana.
Kama wangekua wameshazoea wasingeandamana kumpinga Netanyahu kuhusu uendelezaji wa vita.
 
Kaka unajitahidi kuelimisha sawa, lakini nakuhakikishia hivo vikao kama ingekuwa ni wazungu ningeamini, ila kwa waarabu au hao waajemi hapo usitarajie chochote mkuu, ila ngoja tuone, mawazo ya mtu hayapingwi
Mkuu hiko sio kikao,ni orodha ya watu waliowekwa black list na Iran.
Tusubiri tuone wahenga wanasema usinene ukamara.
 
Back
Top Bottom