pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Iran wanajitutumua tu, hawana ujasusi wa kuwafikia hawa watu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Israeli Huwa wanaongea sana basi!! Ogopa sana mtu anayefukuza mwizi kimya kimya mara unamuona mwizi mwenyewe anakimbilia kituo Cha polisi kuomba msaadaHapo Iran ndio kajitia d()le na kunusa asingetoa hiyo list akapiga kimnya kimnya kitendo hicho Israel nae akitoa list yake akianza na babu kilemba huwa achelewi kufanya kweli Iran ipo kwenye mihemko kwa sasa isipoangalia ataliwa mtu kichwa kati kati ya Tehran tena
Inachekesha sana.. yaani mnajiita raia msio na hatia wakati nyie ndio mmelianzisha juzi hadi mmelipua mafataki kufurahia.. mkirudishiwa mnajiita hamna hatia.. nia yenu ipo wazi katiba zenu zipo wazi marengo yenu yapo wazi ni kuiangamiza Israel propaganda upuuzi wote ni unafiki ambao haufichiki sasa maamuzi ni vita Israel iishe au nyie muishe ishakubaliwa hiyo.. muone Mungu wenu mwezi Allah kama hajasepa...Safi sana mwamba wa mashariki ya kati Iran kwa orodha hii muhimu ya kuwasaka hawa magaidi yaliyokunywa damu za maelfu ya raia wasio na hatia.
Hao raia wanaoshangilia ni wanajeshi?Inachekesha sana.. yaani mnajiita raia msio na hatia wakati nyie ndio mmelianzisha juzi hadi mmelipua mafataki kufurahia.. mkirudishiwa mnajiita hamna hatia.. nia yenu ipo wazi katiba zenu zipo wazi marengo yenu yapo wazi ni kuiangamiza Israel propaganda upuuzi wote ni unafiki ambao haufichiki sasa maamuzi ni vita Israel iishe au nyie muishe ishakubaliwa hiyo.. muone Mungu wenu mwezi Allah kama hajasepa...
Hamna mnachohubiri zaidi ya ushetani tu.. Israel miaka yote katulia mnamchokoza tu. Mnadhani kadhoofika.. dawa ya sasa inawakolea... mwendo ni vitasa tu..
Iran Tumeni na List ya Vigogo wa Israel mlio wahi kuwa kata vichwa nyie na marafiki zenu Hizborah
Hivi taasisi ya kijasusi ya Iran inaitwaje vile? Kama hata haijulikani hiyo list ni futuhi..⚡️BREAKING:
Wizara ya Ujasusi ya Iran imetoa orodha ya magaidi wa Israel wanaotakiwa wakiwa maiti.
Just like Israel, now Iran's Intelligence Ministry releases a list of individuals it want to eliminate.
View attachment 3113347
Siku zote sipendi waonezi hata kama wanaonewa sio wa dini yangu ila nitakuwa upande wao. Israel na US ni magaidi wakubwa zaidi duniani.