Iran imetoa orodha ya Magaidi wanaotakiwa kukatwa vichwa

[emoji298]️BREAKING:
Wizara ya Ujasusi ya Iran imetoa orodha ya magaidi wa Israel wanaotakiwa wakiwa maiti.

Just like Israel, now Iran's Intelligence Ministry releases a list of individuals it want to eliminate.
Hapo utaona kichwa cha Ayattollah muda sio mrefu
 
Hivi mpaka sasa ni idadi ngapi ya watu waliokufa kutokana na yale makombora 200+ waliyorusha jana?
 
⚡️BREAKING:
Wizara ya Ujasusi ya Iran imetoa orodha ya magaidi wa Israel wanaotakiwa wakiwa maiti.

Just like Israel, now Iran's Intelligence Ministry releases a list of individuals it want to eliminate.
Naisubiri list ya Wayahudi nao. Naamini Ayatollah Khomeinei hatakosekana humo. Sasa tuone nani ataanza kumla kichwa mwenzake.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Irani watapaniki sana .Netanyahu ni lijigaidi likubwa
 
Hiyo list bila Joe biden na Kamala Harris ni batili🐼
 
Kuna shetani wa kuitwa Itmar Ben-Gvir na yule maskio popo There is the list waambie waongeze hapo kwa hio list.
Nashangaa huyo Shetani hawajamweka kwenye list
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…