Iran imetoa orodha ya Magaidi wanaotakiwa kukatwa vichwa

Kwani Israeli Huwa wanaongea sana basi!! Ogopa sana mtu anayefukuza mwizi kimya kimya mara unamuona mwizi mwenyewe anakimbilia kituo Cha polisi kuomba msaada
 
Safi sana mwamba wa mashariki ya kati Iran kwa orodha hii muhimu ya kuwasaka hawa magaidi yaliyokunywa damu za maelfu ya raia wasio na hatia.
Inachekesha sana.. yaani mnajiita raia msio na hatia wakati nyie ndio mmelianzisha juzi hadi mmelipua mafataki kufurahia.. mkirudishiwa mnajiita hamna hatia.. nia yenu ipo wazi katiba zenu zipo wazi marengo yenu yapo wazi ni kuiangamiza Israel propaganda upuuzi wote ni unafiki ambao haufichiki sasa maamuzi ni vita Israel iishe au nyie muishe ishakubaliwa hiyo.. muone Mungu wenu mwezi Allah kama hajasepa...

Hamna mnachohubiri zaidi ya ushetani tu.. Israel miaka yote katulia mnamchokoza tu. Mnadhani kadhoofika.. dawa ya sasa inawakolea... mwendo ni vitasa tu..
 
Huu ni upuizi unaoendelea kukita mizizi dunia nzima.. kueneza chuki kwa kila raia ila ukweli utabakia bila kuchangamana na uongo wa mwovu shetani..

Imefikia hadi mahakama za kimataifa kiweka magaidi kundi moja na serikali ya kidemocrasia. Ni sawa na kumchukulia raiasi wa tz awekwe kwenye kesi na magaidi wa kibiti kujibu kesi za mauaji ya raia traffic na walioshiriki kuwahofadhi magaidi kibiti..

Upumbavu uishe.. waislam wameamua vita dhidi ya Israel wacha iwe zipigwe hadi apatikane mshindi.. blah blah ziishe.. haijawahi tokea muislam kumpenda Myahudi
 
Hao raia wanaoshangilia ni wanajeshi?

Pigana na wanajeshi wenzako achana kuonea na kuua raia wasio na silaha.

Iran amewaonesha wazi wazi Israel kuwa kama ameyalenga maeneo yeynye mifumo mikali ya ulinzi kama MOSSAD, makao makuu ya jeshi na kambi za kijeshi manake akiamua kulenga makazi ya watu vifo vitatapakaa mitaani.
 
⚡️BREAKING:
Wizara ya Ujasusi ya Iran imetoa orodha ya magaidi wa Israel wanaotakiwa wakiwa maiti.

Just like Israel, now Iran's Intelligence Ministry releases a list of individuals it want to eliminate.

View attachment 3113347
Hivi taasisi ya kijasusi ya Iran inaitwaje vile? Kama hata haijulikani hiyo list ni futuhi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…