Uko sahihi 100%Iran nao wanatuangusha sana. Mbona israel na marekani waliposhambulia shule hawakutoa tahadhari ya wanafunzi waondoke?
Vita ni vita tu.
Iran ilitakiwa kujibu hata kwa kiwango kidogo kulipiza kisasi. Wakipiga chuo kikuu nao wanapiga vyuo. Wakipiga refinary na wao wanapiga vilevile hata kama kwa udogo.
Iran kwa sasa karata yake ni ule mlango bahari. Zaidi ya hapo ni kelele tu.
Kwani Gaza mmeshinda vita au mlikuwa mnafanya genocide na kuvunja majumba hebu tuonyesheni wapi Hamas wamesalimisha silaha. Nyie mme jidai mnataka peace tena ni America ndio aliingilie na ma puppets wake nchi za kiarabu.Hata kipindi cha vita vya Gaza mlikuwa mnasema hivihivi lakini mliaibika!!!
Endelea kujipa moyo tu kazi huko ilishaisha sasa hivi shughuli na Hezbollah na Bwana wake Iran!!Kwani Gaza mmeshinda vita au mlikuwa mnafanya genocide na kuvunja majumba hebu tuonyesheni wapi Hamas wamesalimisha silaha. Nyie mme jidai mnataka peace tena ni America ndio aliingilie na ma puppets wake nchi za kiarabu.
Swali Hamas ipo au imekwisha we hata Hezbullah na Al Houthi ulisema wamekwisha au sio wewe.
Angalau wanawaambia, hao upande mwingine wanaua hadi watoto wa shule, wamevunja shule, hospitali, madaraja na vituo vya umeme, wanataka wawafikishe kwenye stone ages(Sic). Rais wetu hata English lugha yake inamshinda.Wanaukumbi.
๐บ๐ธ๐ฎ๐ท Iran imetoa wito kwa wafanyakazi wote wa Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco kuondoka kwenye makampuni hayo ifikapo saa nane mchana kwa saa za Tehran siku ya Jumatano - The Hill
Baada ya hapo wataanza kuwalipua.
IRGC imetishia makampuni makubwa ya kiteknolojia ya Amerika katika eneo hilo, ikiwa ni pamoja na Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco, ikizituhumu kuwa watetezi katika uvamizi wa Marekani na Israel dhidi ya nchi hiyo.
=======
Iran has called on all employees of Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel and Cisco to leave the companies by 8pm Tehran time on Wednesday - The HillAfter that they are going to start blowing them up.The IRGC has threatened Americaโs top big tech companies in the region, including Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel and Cisco, accusing them of being abbettors in the American and Israeli aggression against the country.
Trump, English kuandika anapuyanga.Angalau wanawaambia, hao upande mwingine wanaua hadi watoto wa shule, wamevunja shule, hospitali, madaraja na vituo vya umeme, wanataka wawafikishe kwenye stone ages(Sic). Rais wetu hata English lugha yake inamshinda.
Kumbe Hezbullah bado ipo dogo hahaha kwa hio Hamas imeisha malizwa sio hahaha mimi nakuambia Hamas wako strong na subiri time itaongeaEndelea kujipa moyo tu kazi huko ilishaisha sasa hivi shughuli na Hezbollah na Bwana wake Iran!!
Huna lolote jipe tu moyo!!!Kumbe Hezbullah bado ipo dogo hahaha kwa hio Hamas imeisha malizwa sio hahaha mimi nakuambia Hamas wako strong na subiri time itaongea