Iran inajiandaa kupiga ndani ya Israel kwa masaa 48 yajayo

Watu wengine hukataa hili ila infact hammas, hezbollah na vikundi vingine anavyopambana navyo Israel mfadhili ni Iran.
 
Ni kweli kabisa hawana, US, China, Russia wana tech za hali ya juu kujua Nuclear punde zinaporushwa. Yamkini Iran ametengeneza Nuclear kisha akaweka chumbani kwake bila kufanya majaribio lakini pia elewa kwa uwekezaji mkubwa wa Intelligence uliowekezwa na US na Israel hapo Iran, sio rahisi Iran amiliki Nuclear na hao jamaa wasijue.
 
-Sio kweli kwamba Gaza yote imezungukwa na Israel Rafah crossing ilithibitiwa na Egypt kabla ya vita.

-AK47, Assault Riffles na RPG,s wanazotumia Hamas kwako ni silaha duni sio?

-Silaha anazopewa Israel sio kwa ajili ya kuwakabili Hamas tu Bali IDF inapambana na Middle East yote na ndio maana unaona Ayatollah anaomboleza sasa hivi kwa show anayotembezewa huko Syria.

-Issue ya kupambana miezi 6 sio issue maana unapambana na mtu anayekushambulia kwa kuvizia na Kisha kukimbilia kujificha katikati ya raia, Israel ilishawahi piga nchi zenye mavifaru,madege ya kijeshi na Sila za Kila aina kwa siku 6 tu alafu unashaangaa miezi 6 ya IDF Gaza mbona hushangai miaka 20 ya USA Afghanistan? Tena unatakiwa umshangae zaidi Putin pamoja na kupambana na vikosi vya jeshi la Ukraine ambavyo viko wazi wazi lakini tunaenda mwaka wa tatu sasa bado anataabishwa.

-Hiyo aya yako ya mwisho unataka IDF apigane mara ngapi na hizo nchi au hujui kwann IDF inajulikana ni jeshi Bora? Kasome 6 Days war na Yom Kippur war ujue show za hao watabe.
 
Baraza la usalama la Iran linapitia wakati mgumu sana.
 
Mkuu vita ya Russia dhidi ya Ukraine tunaenda mwaka wa pili au tupo mwaka wa pili tunaenda wa tatu?

NATO walitenga bajeti ya kuisaidia Ukraine kwa miaka mitano, tukaona NATO hawapo serious, wana JF hasa wanaoichukia US wakasema vita haiwezi maliza miezi mitatu. Sasa hivi tunautafuta mwaka wa tatu, na NATO walisema nia yao ni kuididimiza zaidi Russia.
 
Sawa! Ni nukta nzuri umeiweka na sipingani nayo.

Lakini picha ni mfano halisi wa kitu. Kwa taswira tu na haiba ya Iran unadhani haimiliki bomu la nuclear?
Na wewe unatumia hisia kwa kuangalia nje! Project ya Iran kumiliki nuclear bombs Obama aliizika ilikuja kufufuliwa na Trump Ila Israel anaidumaza mpaka leo hawana nukes
 
Na wewe unatumia hisia kwa kuangalia nje! Project ya Iran kumiliki nuclear bombs Obama aliizika ilikuja kufufuliwa na Trump Ila Israel anaidumaza mpaka leo hawana nukes
Unaweza ukasoma hapo kwa mujibu wa Institute for Science and International Security. Ripoti ya January 8, 2024.
 

Attachments

Hiyo 82% umetoa wapi?
Any evidence?
 
Mpaka Sasa ni zaidi ya masaa 72 na Iran bado imeufyata. Kulikoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…