Iran inaripotiwa kupanga kushambulia Israel kwa kutumia ndege zisizo na rubani

Iran inaripotiwa kupanga kushambulia Israel kwa kutumia ndege zisizo na rubani

Narudia tena ,watu waache kujitoa ufahamu na kuiona Israel ni nchi ya kupigwa na Iran, nchi yenye nyuklia utaipigaje uifute? Yasije yakatokea kama ya mwaka 1967 na 1973
Na Mjinga pekee ndiye anaweza dhani Israel anaweza kumpiga Iran.
Aliye nyuma ya Israel ni Washington kama alivyofanya kwa Kremlin anafanya tena Tehran na The end will Justify.

Kiev imebaki na Nani?

Mind you kama ilivyo nyuma ya Tel Aviv kuna Washington vivyo hivyo nyuma ya Tehran kuna Moscow

Yetu Macho na Maumivu
 
Iran itakuwa magofu na ashes like Gaza..
 
Iran atalipiza kisasi lakini si kwa namna hiyo! Air defense ya Israel bado iko vizuri.
 
Na Mjinga pekee ndiye anaweza dhani Israel anaweza kumpiga Iran.
Aliye nyuma ya Israel ni Washington kama alivyofanya kwa Kremlin anafanya tena Tehran na The end will Justify.

Kiev imebaki na Nani?

Mind you kama ilivyo nyuma ya Tel Aviv kuna Washington vivyo hivyo nyuma ya Tehran kuna Moscow

Yetu Macho na Maumivu

Hujui kitu hata nukta kuhusu Russsia, i say again, Moscow hatatia mguu once US has fully started striking Iran, na tumeona Libya, Afghanistan, Iraq nchi zote hizo ziliteketezwa na Russia alibaki kupiga kelele tu, so US akianza kuipiga Iran this week, Iran itapotea kabisa, na kwa taarifa yako US militaries and satellites GPS guided missiles are facing Iran, kwanza US, EU, Israel wana hamu sana na huyo Iran hasa sbb ya Houthis walivyo haribu meli za nchi mbali mbali duniani na mfadhili ni Iran.

So hapa kuna vita kamili kubwa na Russia yeye atafurahi kuona US, EU watakuwa busy kuichakaza Iran na hawatatoa msaada huko Ukraine, hivyo Russia ataipiga Ukraine kirahisi, jua Russia yuko busy kuipiga Ukraine hataki kuingia vita kwingine na hii vita ilikuwa pre planned hivyo ili kumpunguza nguvu Russia ili waipige Iran kirahisi kwani Russia hataweza ingilia sbb nae ana vita vyake..!! Iran atakacho kiona hataamini, tusubiri tuone..!!
 
Kafara zinaendelea kutolewa,,naina damu ya waukraine inamwagika NATO idumu,,,DAMU ya waGaza na WaIrani itamwagika ili Israel idumu.
 
Kwahiyo Israel ilivyoshambulia Iran iliyegemea ipewe zawadi au?
Hata USA aliposhambulia Iran alijibiwa ipasavyo na Israel itajibiwa ipasavyo Kwa asili ya Hawa wa Iran ukiwapiga lazima wakurudishie bila kujali wwe ni beberu au mtembe na alimradi wawe na uhakika wa kwamba ni wewe hakika unalo
 
Hivi viongozi waandamizi wa kijeshi wa Iran, Majenerali, huwa wanafanya nini kwenye nchi hasimu za Israeli, Syria na Lebanon, kama Sio kupanga hujuma na ugaidi dhidi ya Israeli? Kwa hiyo Israel ikae tu ikiangalia bila kufanya lolote? 🤔
 
Hujui kitu hata nukta kuhusu Russsia, i say again, Moscow hatatia mguu once US has fully started striking Iran, na tumeona Libya, Afghanistan, Iraq nchi zote hizo ziliteketezwa na Russia alibaki kupiga kelele tu, so US akianza kuipiga Iran this week, Iran itapotea kabisa, na kwa taarifa yako US militaries and satellites GPS guided missiles are facing Iran, kwanza US, EU, Israel wana hamu sana na huyo Iran hasa sbb ya Houthis walivyo haribu meli za nchi mbali mbali duniani na mfadhili ni Iran.

So hapa kuna vita kamili kubwa na Russia yeye atafurahi kuona US, EU watakuwa busy kuichakaza Iran na hawatatoa msaada huko Ukraine, hivyo Russia ataipiga Ukraine kirahisi, jua Russia yuko busy kuipiga Ukraine hataki kuingia vita kwingine na hii vita ilikuwa pre planned hivyo ili kumpunguza nguvu Russia ili waipige Iran kirahisi kwani Russia hataweza ingilia sbb nae ana vita vyake..!! Iran atakacho kiona hataamini, tusubiri tuone..!!
Hili jambo umeliongea ki shabiki na siyo uhalisia nikukumbushe kidogo, kabla USA, UK, FRANCE, ITALY, hazijamvamia Gaddafi URUSI walimpa taarifa Gaddafi na walimwambia kama hutosaidiwa Hawa mabwana watakuua na walikuwa tayari kumsaidia lakini Gaddafi alikataa na hata pale walipotaka kumpa political asylum Gaddafi alikataa na kusisitiza kuwa atafia kwenye ardhi yake, hata pale alipovamiwa na kuzidiwa Urusi ilikuwa tayari kumtorosha na familia yake Bado Gaddafi aligoma kuiacha nchi yake Hadi kifo chake,

Hata kule Syria Basha al Assad baada ya kuzidiwa ndipo akaenda Kwa Putin kuimba usaidizi ndipo Urusi ikaingia kumsaidia ndio mwanzo wa USA, UK na France wakahamishia vifaa vyao vya kijeshi bahari ya Mediterranea na mwisho wakaondoka na kipandikiza magaidi ambao wanaendelea kufanya mashambulizi ya kushtukiza pale Syria.

Nikwambie tu kuwa Iran ndio taifa pekee liliosaidia na linaendelea kumsaidia Urusi kwenye vita ya Ukraine Kwa uwazi kuliko taifa lolote hapa duniani hivyo ukae ukijua kwamba yeyote atakaemvamia kijeshi Iran atakumbana na zana za Urusi na wanajeshi wa urusi uso Kwa uso usije jidanganya kuwa Kuna anaeogopwa katika Dunia ya Leo
 
Iran anaendelea kumjambisha mzayuni .[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa sasa israeli anapitia psychological warfare maana hajui saa na siku ambayo mwana wa ajemi atamtembelea. Shikilia hapo hapo Ayatollah
 
Narudia tena ,watu waache kujitoa ufahamu na kuiona Israel ni nchi ya kupigwa na Iran, nchi yenye nyuklia utaipigaje uifute? Yasije yakatokea kama ya mwaka 1967 na 1973
Hio miaka walipigana waarabu, Iran sio mwarabu
 
Iwe kweli sasa, na sio vitisho tu.

Out of topic👇
Iftar ya Ramadhan iliyoandaliwa na Biden katika IKULU ya White House ilighairiwa kwa sababu hakuna Waislamu waliokubali mwaliko huo

Hivi ndivyo tunapaswa kushikamana na kuwa wamoja ndugu zangu waislam

Allah awalinde, awahifadhi na awape ushindi dhidi hao maadui wakubwa waliolaaniwa
Sawa ila vita dhidi ya magaidi lazima viendelee. Hamna namna
 
Sawaa, ni nafsi yako tu inatambua hao ni magaidi, ila kwa sisi tunaojitambua wale ni freedom fighters, upo hapo?
Freedom fighters wa kuchoma vitoto vichanga na kubaka wanawake.
Hata Isis ni freedom fighters basi maana ukatili wa hamas hauna tofauti na isis
 
Lete ushahidi kama wewe ni kidume kweli!

Una hakika ISIS ni waislamu? Na wafadhili wake ni waislamu?
Matendo ya mauaji yanayofanywa na isis yana tofauti gani na Hamas?! The so called freedom fighters
 
Back
Top Bottom