Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
…nyuma ya Moscow kuna nani? Maana tunaiona vile Moscow inahangaika na kupukutika huko UkraineNa Mjinga pekee ndiye anaweza dhani Israel anaweza kumpiga Iran.
Aliye nyuma ya Israel ni Washington kama alivyofanya kwa Kremlin anafanya tena Tehran na The end will Justify.
Kiev imebaki na Nani?
Mind you kama ilivyo nyuma ya Tel Aviv kuna Washington vivyo hivyo nyuma ya Tehran kuna Moscow
Yetu Macho na Maumivu
😂😂😂 Hakiyamungu kuna Mazezeta wengi humu…nyuma ya Moscow kuna nani? Maana tunaiona vile Moscow inahangaika na kupukutika huko Ukraine
Fuatilia…nyuma ya Moscow kuna nani? Maana tunaiona vile Moscow inahangaika na kupukutika huko Ukraine
Tofauti yake ni mbingu na ardhi, hamas wanatetea ardhi yao, na isis ni kikundi kinachotumika kuuchafua uislamu.Matendo ya mauaji yanayofanywa na isis yana tofauti gani na Hamas?! The so called freedom fighters
Hakunaga undugu kwenye maslah wewe acheni umasikin wa akili. Hapo Darfur waarabu wanaua watu weusi na kuchukua maeneo yao ushaona Al-Jazeera wanaongea au pale Yemen muda wote waarabu wauana ushasikia kelele kama za GazaIwe kweli sasa, na sio vitisho tu.
Out of topic👇
Iftar ya Ramadhan iliyoandaliwa na Biden katika IKULU ya White House ilighairiwa kwa sababu hakuna Waislamu waliokubali mwaliko huo
Hivi ndivyo tunapaswa kushikamana na kuwa wamoja ndugu zangu waislam
Allah awalinde, awahifadhi na awape ushindi dhidi hao maadui wakubwa waliolaaniwa
Hakunaga undugu kwenye maslah wewe acheni umasikin wa akili. Hapo Darfur waarabu wanaua watu weusi na kuchukua maeneo yao ushaona Al-Jazeera wanaongea au pale Yemen muda wote waarabu wauana ushasikia kelele kama za Gaza
Yaan kwamba janjaweed waliokuwa wanonyeshwa na Al-Jazeera walichofanya weusi pale Darfur ni uongo sio.Hayo ya waarabu kuuwa weusi ni uongo, unaweza ukaweka clip tuone, na wanatoka nchi ipi!
Yaan kwamba janjaweed waliokuwa wanonyeshwa na Al-Jazeera walichofanya weusi pale Darfur ni uongo sio.
Bro huitaji kutoka mishipa kuongea mzee nenda Google janjaweed walichofanya pale darfurSudan ni moja kati ya nchi za kiarabu/kiislamu, sasa nionyeshe hao waarabu wakiuwa watu weusi! Hao weusi ni akina nani?
Tatizo lenu chuki zimewajaa kwa waarabu mpaka mnajichanganya eti janjaweed ni waarabu 😄 sisi waislamu tunawajua nyie vizuri sana, mmejawa chuki
Bro huitaji kutoka mishipa kuongea mzee nenda Google janjaweed walichofanya pale darfur