green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Waajemi wasitumie nguvu kubwa sana wakati wa kuidhibu Israel ambayo ni dhaifu sana imetepeta vibaya makombora ya Hizbollah yameiharibu kabisa na mifumo yao ya ulinzi imeparalaizi haina uwezo wa kupangua zaidi kulipuliwa ikiwa na air defence missile. Na tayari wameshaanza kufarakana ni jukumu la makomandoo wa Iran waingie Israel wawakamate kama kuku kwenye banda.
Air Defence ya Israel ya sasa ni king'ora kimoja wayahudi wote wanazama kwenye mapango
Air Defence ya Israel ya sasa ni king'ora kimoja wayahudi wote wanazama kwenye mapango