green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Wanamgambo wa Israel wameshachoka vita hawana uvumilivu wakati game linatakiwa lichezwe miaka mitatu mbeleJamaa huwa ni daydreamer hodari sana.
Mbona kimekuuma sanaJamaa huwa ni daydreamer hodari sana.
Israeli wameshaapoteana ndo ukweli .kwa sasa Netanyahu anaendesha serikali akiwa kwenye mahandiki maana hata wananchi wanamtafuta wamle kwa chumviMtu anaandika upumbavu kama huu ili tuusome ..akili za madrasa hizi.
Trump (adui wa Waarab) kisharudi madarakani, sioni Waarab wakipumua kwa amani.Waajemi wasitumie nguvu kubwa sana wakati wa kuidhibu Israel ambayo ni dhaifu sana imetepeta vibaya makombora ya Hizbollah yameiharibu kabisa na mifumo yao ya ulinzi imeparalaizi haina uwezo wa kupangua zaidi kulipuliwa ikiwa na air defence missile. Na tayari wameshaanza kufarakana ni jukumu la makomandoo wa Iran waingie Israel wawakamate kama kuku kwenye banda.
Air Defence ya Israel ya sasa ni king'ora kimoja wayahudi wote wanazama kwenye mapango
Wanamgambo wamejichokea wapigwa za chembe kila siku wao wanaishia kubomoa majengoKama una nguvu nenda wewe ukaifute maana kama Allah kashindwa hao Iran ni kina nani!
Trump atafanya nini sasaTrump (adui wa Waarab) kisharudi madarakani, sioni Waarab wakipumua kwa amani.
Hakuna sehemu iliyo salama huko Israel kila sehemu inapelekewa mgao wa makombora
View: https://youtu.be/LYMWfdZOsYE?si=NKiTjTiNTp7SYftA
Taifa teule yuko wapi yule 1=3 awasaidie ona watu wake wanavyo adhirika.
View: https://youtu.be/iApx48pj6Js?si=C5SWa7GBGLPPCG_r
Broo upo duniani kweli 🤣🤣🤣 au unajifarijiIran kwani anahamu tena na hao majemedari wa vita?
Huwezi kupambana na Usrael ukaendelea kuwa salama, never!
Duniani chief!Broo duniani kweli 🤣🤣🤣 au unajifariji
Kanzishe forum yako afu chagua watu wenye akili kama zako, nani kakulazimisha kuchangia mada unazo ona sio level yako, au basi ni ujinga wako ndio unakusumbua.Mleta mada, nani kamwambia kuwa punguani nao wanaruhusiwa kuanzisha mada?
Mods, hili siyo jukwaa la vichekesho au vioja. Ondoeno hii mada takataka, pelekeni kwenye jukwaa husika.
Unaongea ukiwa wapi? Tehran, Baghdad,Gaza au Syria? Maana huko kote nilipotaja Israel anaogopwa...kasoro wew na wenzio Waarabu wa NzegaWaajemi wasitumie nguvu kubwa sana wakati wa kuidhibu Israel ambayo ni dhaifu sana imetepeta vibaya makombora ya Hizbollah yameiharibu kabisa na mifumo yao ya ulinzi imeparalaizi haina uwezo wa kupangua zaidi kulipuliwa ikiwa na air defence missile. Na tayari wameshaanza kufarakana ni jukumu la makomandoo wa Iran waingie Israel wawakamate kama kuku kwenye banda.
Air Defence ya Israel ya sasa ni king'ora kimoja wayahudi wote wanazama kwenye mapango
Waajemi wasitumie nguvu kubwa sana wakati wa kuidhibu Israel ambayo ni dhaifu sana imetepeta vibaya makombora ya Hizbollah yameiharibu kabisa na mifumo yao ya ulinzi imeparalaizi haina uwezo wa kupangua zaidi kulipuliwa ikiwa na air defence missile. Na tayari wameshaanza kufarakana ni jukumu la makomandoo wa Iran waingie Israel wawakamate kama kuku kwenye banda.
Air Defence ya Israel ya sasa ni king'ora kimoja wayahudi wote wanazama kwenye mapango