Iran kazabuliwa kofi la uso yeye karudisha kwa kumsukuma tu Israel

Uelewa wako bado ni mdogo sana..
Drone zinaanza kwanza ili ku saturate airdefence system za mpinzani wako alafu nyuma yanakuja makombora au ballistic missile....wakati wewe unajarib ku intercept cheap kamikaze drone kumbuka unakua unamaliza makombora yako yanayotumika kudungua hizo kamikaze drone... Russia ilianza kuishiwa makombora na Ukraine alianza kupata nguvu lakini Russia alivoanza kutumika kamikaze za drone nadhan km una akili timamu ukisikia kelele za Wakubwa wa Dunia waliokua wanamsaidia Ukraine...Kamikaze drone za Iran ni cheap mf $1200 ila interceptor missile $120,000 kwa moja je huoni ni hasara kiasi gani utapata??? Na leo Israel ishukuru maana US,UK,Jordan na France wame intercept drone na Missile nyingi apo Irak,Syria na Jordan lakin bado kuna air base inayo host F-35 imepigwa....Imagine US na wahirika wake wasingefanga kitu leo Israel na kujam GPS lakin bado vitu vimefika....US anajua kabisa Israel hawez inatercept kwa magnitude ya drone zote na cruise missile na ballistic maana Iron dome, Arrow, david sting haziwez kwa magnitude hiyo
 
7billion people ni idadi kubwa ya watu, kitachotupunguza ni maradhi makubwa na vita
 





Western media awawezi kukuonyesha hizo image Iran kapeleka mvua ya makombora Israel.

Ingia social media ndio utaona makombora yaliyotua; jamaa wamerusha ya kutosha baadhi ilikuwa lazima yafike pamoja na Israel kutungua mengi.

Ukisikiliza western media sasa hivi analysts wanahofia Israel iki-respond kwa kutumia nguvu kubwa. Middle East inaweza lipuka yote.
 
Kwa tuliosoma history ya WW1 na WW2 tunaona kabisa kila dalili ipo ya kuchapana hapa. World War 3 inanukia
 
Acheni kutoa hoja dhaifu.

300 attacks bila Air defense nzuri unadhani Madhara gani yangetokea?

It is the very demonstration on how to defend against Iranians Drones and missiles attacks.

Hizo Drones zimewasumbua Ukraine kwa sababu hawana lines of defenses so wanajikuta few air defenses zinabidi zichagua Kati ya drones au cruise missiles.

But how Israel did, they downed then outside their country and let air defenses batteries attack large targets
 
Upo dunia ya wapi?
 
Mwenye uelewa mkubwa,naomba nikuulize.Iran hajapata hasara kurusha makombora zaidi ya 300 halafu yaliyohit target ni 7?
 
Mpaka Sasa kwenye huu mtanange Israel inaongoza moja bila dhidi ya Iran. 99% ya drones na makombora toka Iran yamedunduliwa. Iran imepata green light kushambulia Iran especially vinu vya nyukliaUta
Utashangaa mara mlipo mkubwa watokea Iran na kuua watu 100
 
Kwa tuliosoma history ya WW1 na WW2 tunaona kabisa kila dalili ipo ya kuchapana hapa. World War 3 inanukia
Hiyo history ni ile uliyofundishwa na Mwl. Mama Nyamhanga au uliandikia thesis?
 
Wanasema huko ardhi ya Iraq na Jordan kumetapakaa scrapers za vidroni vya Iran all over!
 
Waisrael mwenyewe hiyo jana wameonyeshwa wakiendelea na maisha yao kama kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…