Iran kazabuliwa kofi la uso yeye karudisha kwa kumsukuma tu Israel

Mpaka Sasa kwenye huu mtanange Israel inaongoza moja bila dhidi ya Iran. 99% ya drones na makombora toka Iran yamedunduliwa. Iran imepata green light kushambulia Iran especially vinu vya nyuklia πŸ€”
Israel atumie hii nafasi kupiga vile vinu, sijui kwa nini hakuacha baadhi ya makombora yalete uharibifu ili iwe kigezo cha kufanya hivyo.
 
Watu wanajadili kinachotokea. Hiyo kusema wanafurahia huo ni mtazamo wako.
Wanaofurahia ni hao ambao wanapigana huko kwa sababu wanajua nini wanapata pale wanapopigana
Ni kweli tabia ya Iran kupotezea mambo na kuepusha shari kuliifanya Israel ampande kichwani ila kwa shambulizi hili ,Israel atakuwa anajifikiria mara mbili kabla ya kufanya upuuzi alio kuwa amezoea kuufanya.
Na bila msaada wa Marekani ,Uingereza na Ufaransa kusaidia kuyadungua baadhi ya drone na makombora sasa hivi maafa yangekuwa makubwa sana ndani ya Israel.
 
Mkongwe, najua una haraka!
Lakini huu uandishi wako haututendei haki kabisa.
 
Israel atumie hii nafasi kupiga vile vinu, sijui kwa nini hakuacha baadhi ya makombora yalete uharibifu ili iwe kigezo cha kufanya hivyo.
Uharifu umetokea acheni visingizio.
 
Attachments

  • Screenshot_20240414-083322.png
    188.8 KB · Views: 1
Anaejua kasukumwa au kachapika ni Israel siyo wewe huko Kazuramimba kigoma
 
Israel atumie hii nafasi kupiga vile vinu, sijui kwa nini hakuacha baadhi ya makombora yalete uharibifu ili iwe kigezo cha kufanya hivyo.
Hadi muda huu Israel kigezo anacho, anachotakiwa ni kufanya tu!
 
Nchi zote za Nato zilikuwa zinapambana na drone za Iran lakini una targrts zilizopenya,hata hivyo nasubili majibu ya israel dhidi ya Iran
 
Iran kuweza kupenya kwenye best air defense systems pamoja na ndege za marekani na UK kuwasaidia sio Jambo dogo
 
Iran walimshindwa Dikteta Saddam Hussein miaka 10 wataiweza Israel.
Iran walimshindwa Dikteta Saddam Hussein miaka 10 wataiweza Israel.
Iran imemshindwa Saddam au Saddam ndio kaishindwa Iran!?
Embu sahihisha historia bro,Iraq ndio ilifanya invasion Iran na ikisapotiwa na USA ila Iran ili repel invasion kwa miaka 8.
Usitudanganye bhan.
 
Mnafosi air base imeharibiwa lakini hamna ushahidi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mnafosi air base imeharibiwa lakini hamna ushahidi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe leta ushahidi wa kuonesha airbase iko nzima.
Maana unatuonesha runway.
Tunataka airbase yenyewe ,mbona Mossad hawaoneshi picha za kambi nzima kuonesha kama haina uharibifu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…