We jamaa mbona unaandika pumba sana shida ni nini?Kimbe upon nyuma ya wakati soma hii
Asilimia kubwa ya wayahudi wanamfunzo ya kijeshi likiwemo la kukimbilia kwenye handaki wakati wa hatari na hii inawatofautisha sana na waarabu na waafrika wengi
Ni pumba kutegemea na angle uliyopoWe jamaa mbona unaandika pumba sana shida ni nini?
Thread 'SYRIA YATANGA KRISMASI KUWA SIKUKUU YA UMMA' SYRIA YATANGA KRISMASI KUWA SIKUKUU YA UMMAIran ana mawasiliano mazuri na hts ya alsharaa,hata vyombo vya habari vya Iran haviwaiti tena magaidi,we tulia tu uone mchezo
πThread 'SYRIA YATANGA KRISMASI KUWA SIKUKUU YA UMMA' SYRIA YATANGA KRISMASI KUWA SIKUKUU YA UMMA
Handaki sio mbinu ya kijeshi mkuu.Basi kama ulikuwa hujui hiyo ni mbinu ya kijeshi mlipewa kama ulikuwa hujui,
Nini maana ya mbinu za kijeshi? labda tuanzie hapoHandaki sio mbinu ya kijeshi mkuu.
Hata hili pia una complicate!?
Dooohπππππ
Basi sawa tuseme ni mbinu ya kijeshi mkuu.Nini maana ya mbinu za kijeshi? labda tuanzie hapo
Ndio uhalisia mtu asiye na mafunzo hayo lazina aumie bomu likirushwa,Ni sawa ukisikia mlio wa risasi karibu yako mtu mwenye mafunzo anaangalia uwezekano wa kulala chini haraka,ila boya anabaki kukimbia au kushangaa tuBasi sawa tuseme ni mbinu ya kijeshi mkuu.
Handaki sio lazima upate mafunzo ya kijeshi mkuu.Ndio uhalisia mtu asiye na mafunzo hayo lazina aumie bomu likirushwa,Ni sawa ukisikia mlio wa risasi karibu yako mtu mwenye mafunzo anaangalia uwezekano wa kulala chini haraka,ila boya anabaki kukimbia au kushangaa tu
SawaHandaki sio lazima upate mafunzo ya kijeshi mkuu.
Nyumba nyingi za Europe pia hujengwa na mahandaki toka enzi ili kujificha linapotokea tatizo lolote lile ikiwemo machafuko ama vita.
As well as Israel ni lazima nyumba zingejengwa hivyo kulinda raia ukizingatia Israel imezungukwa na nchi mahasimu.
SawaHandaki sio lazima upate mafunzo ya kijeshi mkuu.
Nyumba nyingi za Europe pia hujengwa na mahandaki toka enzi ili kujificha linapotokea tatizo lolote lile ikiwemo machafuko ama vita.
As well as Israel ni lazima nyumba zingejengwa hivyo kulinda raia ukizingatia Israel imezungukwa na nchi mahasimu.