gonamwitu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 2,187
- 2,794
We jamaa mbona unaandika pumba sana shida ni nini?Kimbe upon nyuma ya wakati soma hii
Asilimia kubwa ya wayahudi wanamfunzo ya kijeshi likiwemo la kukimbilia kwenye handaki wakati wa hatari na hii inawatofautisha sana na waarabu na waafrika wengi