Iran: Makamanda wa US wapo Tel Aviv kuongoza mauaji ya kimbari Gaza

Iran: Makamanda wa US wapo Tel Aviv kuongoza mauaji ya kimbari Gaza

kauli kama hii ndio inayotufanya tuamini kuwa dini hii ni ya ushetani, na watu hawaiamini kwasababu kuu kama hii. kuua kwenu ni utakatifu wa kuwaingiza ahera.
Uuaji ndio mbinu ambayo , waisrael walipewa na Mungu wao kudhibiti ile nchi ya kaanani
 
Israel wameshasema, askari wake waliokufa wamefikia 500 na hiyo sio ajabu, ndio matokeo ya vita, but at the end of the day, watashinda vita na hamas itafutwa na Gaza kaskazini haitakaliwa na wapalestina tena kwasababu wakiwa huru wanaruhusu hayo kufanyika, itakaliwa kimabavu na israel kama ilivyokuwa kabla ya 2005.
Asante Bwana Mungu kwa uamuzi wako mzuri. Kenge wee!
 
Muandishi utataja kila kitu lakini lazima ugaidi utokomezwe. Taja sijui wanamuqawama, centcom, al anbiya

Taja vyote lakini ugaidi utatokomezwa tuuu, hata kama gaidi ni mama mjamzito lazima auwawe, ili maisha yaendeleee
hahahaha lzm ajinyee ...wamebaki kutapatapa hapa na pale wazayuni wanatembeza mkong'onto haswaa
 
Kwani iran kazuiwa kupeleka makamanda wake huko ukanda wa gaza?
 
Yaani aliyepigwa ndio ameombwa case fire aisee hiki kichekesho [emoji1]
 
Unajidanganya. Kafiri lini kamshinda muislam?
Yaani wewe jamaa au huwa unalenga kuleta comedy humu ndani, hapo wanapigana Israel vs Hamas. Hizo vita za Waislam bado hazijaanza pengine zilikuwepo enzi za Othamn Danfadio.
 
Muandishi utataja kila kitu lakini lazima ugaidi utokomezwe. Taja sijui wanamuqawama, centcom, al anbiya

Taja vyote lakini ugaidi utatokomezwa tuuu, hata kama gaidi ni mama mjamzito lazima auwawe, ili maisha yaendeleee
Ww utaishi milele, hao wanaouawa wanatangulia nawewe utafuata sio ombi ni lazma.
 
Back
Top Bottom