ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Uuaji ndio mbinu ambayo , waisrael walipewa na Mungu wao kudhibiti ile nchi ya kaananikauli kama hii ndio inayotufanya tuamini kuwa dini hii ni ya ushetani, na watu hawaiamini kwasababu kuu kama hii. kuua kwenu ni utakatifu wa kuwaingiza ahera.