Muislam akimua kafiri ktk vita anaingia peponi na akiuliwa yeye anaingia peponi. Wakati kafiri akifa au akiua moto kwa moto
Tofauti na wewe kafiri
Majitu mengine sijui yalifaa tu yawe punda yabebe mizigo na nyama yao isiliwe bali ituowe.
Unapingana vita mitandaoni, vita siyo imani.
Vita ni vile unavyoweza kupata taarifa za adui, mipango mizuri ya kiutawala,
Mbinu sahihi angalau kupunguza vifo na majeruhi, makamanda bora ,wapiganaji wenye mafunzo ya hali ya juu, kulingana na hali ya uwanja wa vita. Aina gani ya adui unayekabiliana nae, uwezo wake ,moral yake ,aina ya silaha za adui, maficho yake. Mwisho mbinu zake za medani.
Mfano: vita inayopiganwa Gaza tunaita FIBUA. fighting in building area.
Hii vita ni ngumu sana ,inahitaji umakini, mbinu za adui ni kushambulia kwa kushitukiza, ambush.
Adui maficho yake ni katika makazi ya watu, chini taasisi na vituo vya huduma za kijamii yeye ameweka ngome zake chini ya majumba ,na wakati mwingine operation room zake ziko katika maofisi ya kama hosp, masokoni,na vituo vya afya.
Kwa namna ilivyo Israel atapoteza askari wengi zaidi ya hao, lakin mwisho wa siku hii vita atashinda tu.
Kama hamas wameruhusu sasa adf ipo ndani ya Gaza ,basi ni swala la.muda tu.
Ama watorokea kupitia hayo mashimo hadi Misri au wapigane wakiwa nje ya mashimo ili wauawe.