inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Kakwambia nani jini shetani!?..uwe unauliza unaelimishwa,hakuna kiumbe rasmi linaitwa shetani,wewe ulipomlaghai Dem mkaenda kuzini,wewe ulikua shetani,kwa nini huwa mnasema pepo mchafu!?..ni kwa sababu Kuna pepo msafi,jinni ni kiumbe Kama wewe,kimeumbwa na Mungu,hao wachungaji wenu wakianza kuwahubiria kuhusu majinni muwe mnawauliza wamewajuaje,maana kwenye biblia hayapo hayo wayasemayo kuhusu majinnikuna muislam yeyote alishawahi kufa akarudi akawasimulia alichokikuta huko? natamani ingekuwa hivyo ili pengine awafumbue macho. tunasema mungu wenu ni wa uongo, kwasababu kwanza anashirikiana na ushawi, uganga na ushirikina, pia anayakubali majini, mnaswali pamoja. hicho tu ndio ungestuka kwamba hii imani sio sahihi kwasababu majini ni mashetani inakuwaje mungu mnayemsema ni mtakatifu akashirikiana au kuyakubali majini?