Media unazotazama wewe sizo. Jionee:
View: https://youtu.be/HIpjAaJLMJU?si=rPKjFQ1sRU4-0Rrr
Natamani ungesikia anachokiongea huyo kijana.
kwa ufupi, kimoja alichosema ni,bd Y kuqTndik Hq MDUI 7/10 tulitegemea ndani ya saa 24 iwe hili kambi la mateso linaloitwa Gaza limemalizwa lote. Tunatamani wao na washirika wao wa kutupeleka peponi wafanye haraka waje tuonane uso kwa uso, wako wapi?
Tunawaambia wote mnaotuombea dua, muendelee na dua zenu, hawa maadui wanakumbana na ulinzi hata sisi tunashangaa unatokea wapi. Hiyo ndiyo nguvu ya Mwenyezi Mungu.
Ushindi kwa vyovyote viule wa kifo au wa uhai. Wote ni ushindi. Msiwe na shaka wala msiwe na wasiwasi furahini kwa kinachoemdelea, majeshi makubwa duniani leo yansimamoishwa na watoto wadohgo na wanawake. Huo pelke yake ni ushindi mkubwa sana.