ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Uuaji ndio mbinu ambayo , waisrael walipewa na Mungu wao kudhibiti ile nchi ya kaananikauli kama hii ndio inayotufanya tuamini kuwa dini hii ni ya ushetani, na watu hawaiamini kwasababu kuu kama hii. kuua kwenu ni utakatifu wa kuwaingiza ahera.
Asante Bwana Mungu kwa uamuzi wako mzuri. Kenge wee!Israel wameshasema, askari wake waliokufa wamefikia 500 na hiyo sio ajabu, ndio matokeo ya vita, but at the end of the day, watashinda vita na hamas itafutwa na Gaza kaskazini haitakaliwa na wapalestina tena kwasababu wakiwa huru wanaruhusu hayo kufanyika, itakaliwa kimabavu na israel kama ilivyokuwa kabla ya 2005.
sasa wewe ndio kenge maji uliyelaaniwa.(kidding)Asante Bwana Mungu kwa uamuzi wako mzuri. Kenge wee!
hahahaha lzm ajinyee ...wamebaki kutapatapa hapa na pale wazayuni wanatembeza mkong'onto haswaaMuandishi utataja kila kitu lakini lazima ugaidi utokomezwe. Taja sijui wanamuqawama, centcom, al anbiya
Taja vyote lakini ugaidi utatokomezwa tuuu, hata kama gaidi ni mama mjamzito lazima auwawe, ili maisha yaendeleee
🤔🤔sasa wewe ndio kenge maji uliyelaaniwa.(kidding)
Yaani wewe jamaa au huwa unalenga kuleta comedy humu ndani, hapo wanapigana Israel vs Hamas. Hizo vita za Waislam bado hazijaanza pengine zilikuwepo enzi za Othamn Danfadio.Unajidanganya. Kafiri lini kamshinda muislam?
Ww utaishi milele, hao wanaouawa wanatangulia nawewe utafuata sio ombi ni lazma.Muandishi utataja kila kitu lakini lazima ugaidi utokomezwe. Taja sijui wanamuqawama, centcom, al anbiya
Taja vyote lakini ugaidi utatokomezwa tuuu, hata kama gaidi ni mama mjamzito lazima auwawe, ili maisha yaendeleee