Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Ayatollah anawindwa toka 1970s...
Israel ni overrated hamna kitu, uwezo wake ipambane na Hamas na Hezbollah...
ka nchi kama singida kamezingukwa ma nchi makubwa kibao ya wajaa chuki na bado kanawapakata kwa miongo nenda rudi
 
Hizi coments zetu zinaonyesha wazi sisi watz tunauwezo mkubwaa wa kulipambania taifa letu katika yoyote ngumu.
Mwanzo tulisema Irana hawezi kufanya lolote,alipo jibu tukasema hajaleta madhara makubwa.
Upande wa pili wakasema Irani kamfundisha adabu Netanyahu,nakwamba Israeli hataweza kujibu mapigo,haya,kajibu tunasema hajaleta madhara makubwa.
 
Hapa Sasa ndipo unapokosea akina Netanyau na Yesu ni kama bange na polisi
 
Wayahudi na Waislam tuwaombee wapate Neema ya Kristo na waache kuuana,,maana hawa wote Kwa kutomkiri kristo wanakufa katika hasara na jehanamu ndio makao yao.

Ume wrong number :
Waislam wanamtambua Nabii Issa (Yesu) kama Nabii na wanamtukuza Maryam (Marry) kama mama aliyepata mimba kwa miujiza ya Mungu. Soma Quran kuna sura ( chapter kamili) ya Maryam (Mary). Waislam wanavikubali vitabu viliyo tangulia Zaburi ya Daudi, Tairat ya Musa, Injili ya Isa( Yesu),

Hao wateule wenu Wayahudi wanamkana Yesu na kumuita mwanaharamu na kumdhalilisha Mary( Maryam) kama Malaya na hawaukubali ukirsto na vitabu vyake.
 
Mimi nafuatilia Al Jazeera now. Hivi Irani hawana mifumo ya kuzuia makombora kweli? Where are the S-400 as regarded as the most advanced ant missiles?
Sio kwamba Ayatolah alisoma Albadiri
 
Ume wrong number :
Waislam wanamtambua Nabii Issa (Yesu) kama Nabii na wanamtukuza Maryam (Marry) kama mama aliyepata mimba kwa miujiza ya Mungu. Soma Quran kuna sura ( chapter kamili) ya Maryam (Mary). Waislam wanavikubali vitabu viliyo tangulia Zaburi ya Daudi, Tairat ya Musa, Injili ya Isa( Yesu),

Hao wateule wenu Wayahudi wanamkana Yesu na kumuita mwanaharamu na kumdhalilisha Mary( Maryam) kama Malaya na hawaukubali ukirsto na vitabu vyake.
Quote Reply Report Edit Delete
 
Hii picha ni mashabulizi ya Iran Oct 1 nchini Israel, wananchi wamejificha kwenye mahandaki wanaona kama mwisho wa dunia umefika...
Picha yenyewe ya kugushi, wayahudi hawako hivyo!! Mahandaki ya Israel yanaitwa Basement kuna kila kitu kitanda,shuka,Hospital na Huduma zingine za kibinadamu. Angalia hata huyo askari Israel hakuna wa namna hiyo, Hard-hat israel hawatumii hizo tuambie vizuri hiyo umeipata wapi?
 
Mkorofi ni Iran siyo Israel. Irani anaingilia vita isiyomhusu akijifanya mwamba mashariki ya kati ! Acha apigwe.

America ndiyo baba wa ukorofi mkubwa duniani. Silaha zao zinaua kila mahali hawa wazayuni wamepewa silaha zote bure billion 20 $ kuua watoto wanawake shule hospital na kuvunja kila kitu. Wayahudi ndio wanaidrive America na ukubwa wote huo . Nisawa na ng’ombe anaekamuliwa maziwa watoto wake wanakosa maziwa anapewa mbwa. Mfano,
Iran anasaidia kuondoa dhulma
 
Dah! Video zinaonyesha hamna kinga yoyote, madude yameshuka bila kuzuiwa na chochote...
Wako wapi mayatoolah ya humu Malaria 2 brazaj FaizaFixy FaizaFoxy incharge na wengine wote
America ndiyo baba wa ukorofi mkubwa duniani. Silaha zao zinaua kila mahali hawa wazayuni wamepewa silaha zote bure billion 20 $ kuua watoto wanawake shule hospital na kuvunja kila kitu. Wayahudi ndio wanaidrive America na ukubwa wote huo . Nisawa na ng’ombe anaekamuliwa maziwa watoto wake wanakosa maziwa anapewa mbwa. Mfano,
Iran anasaidia kuondoa dhulma
 
Mchina kaithibitishia Dunia ,Kivita Yuko mbali sana.

Kwa mara ya kwanza LASER WEAPONS , zinaangisha makombora Kwa Kasi ya mwanga .

Iran amshukuru mchina, alikua anapigika sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…